Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Lindi ni kubwa sana mkuu, wewe umefika mjini hujafika maeneo mengi kama Nachingwea, Kilwa n.kNiliwahi kusikia mahali kuwa maana ya neno Lindi ni Bonde, sasa sijui ni kweli??
Hata haivyo kama umewahi kusafiri kwenda lindi, ukiwa unaukaribia mji unakuwa kama unashuka bondeni, mjiwenyewe upo bondeni.
Ndio maana makao makuu mapya ya mkoa wamejenga huko juu mlimani kuepuka matukio kama hayo ya mafuriko.
Sent using Jamii Forums mobile app