Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

Watu hawapati akili kwa kusengenywa na kunyanyaswa, hapo unawaongezea msongo wa mawazo tu.

Watu wanapata akili kwa nchi kuwa na uongozi bora utakaowajali, kuwaelimisha, kuwashirikisha, kuwahamasisha na kuwaliwaza vizuri.

Magufuli kashindwa katika yote hayo.

Anajitengenezea uadui wa bure kabisa na wananchi wake mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ukisikia asiyefunzwa na mamake, atafunzwa na dunia huwa unaelewa nini?
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Mbona bingwa tokea hajapata hicho kiti wote tulikua tunamfaham kwa kutupia nondo kali na misumari ya nchi sita, nani amesahau aliposema kama hauna 200 piga mbizi. Mara ngapi alipelekesha bunge kuhusu matumizi ya barabara?

Lakini kubwa zaidi alikua muwazi zaidi kwa kusema huku alipo yeye kasukumizwa tu akajikuta yupo jumba jeupe. Hapo mnamshangaa au kumlaumu kwa kipi?

Yaani huyo ndio yeye! Sie ndio wa ajabu endapo tulitarajia atakua mnafiki abadilike kisa ameupata urais.


Nakala kwa rais wetu wanyanyua box
Nyani Ngabu
Hakui tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom