mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Kama vile nyie mlivyotulia baada ya mabeberu kukoroma.
dodge
dodge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha haAna kiswahili kibovu kweli, atakua mhamiaji haramu huyu.
wewe ukisikia asiyefunzwa na mamake, atafunzwa na dunia huwa unaelewa nini?Watu hawapati akili kwa kusengenywa na kunyanyaswa, hapo unawaongezea msongo wa mawazo tu.
Watu wanapata akili kwa nchi kuwa na uongozi bora utakaowajali, kuwaelimisha, kuwashirikisha, kuwahamasisha na kuwaliwaza vizuri.
Magufuli kashindwa katika yote hayo.
Anajitengenezea uadui wa bure kabisa na wananchi wake mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi jiografia ya lindi ina mabonde kweli au? Maana swala la mafuriko mara nyingi huzikumba sehemu za tambarare..
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli.wewe ukisikia asiyefunzwa na mamake, atafunzwa na dunia huwa unaelewa nini?
Ukomo wa kufunzwa na dunia ni wapi?Si kweli.
Kuna mwingine alifariki mara baada ya kuzaliwa, hajafunzwa na mama yake wala dunia.
Wacha kukariri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama ni shimo iweje mr no 1 awadharau hivo hao watu waliopoteza mali zao na waliofariki..!?
Mimi nimemuelewa vizuri sanaHili nadhani ndio andiko la aibu zaidi kulisoma tangu nijiunge JF
Unaniuliza mimi kwani mimi ndiye nimeleta habari za "kufunzwa na dunia" hapa?Ukomo wa kufunzwa na dunia ni wapi?
Endelea kukenua tu ipo siku yatakukuta.Siku za kubembelezwa zimeisha, yani ujenge kwenye bonde alafu utake mtu aje akufariji..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha jazba za kikeWe ndo mshenzi maana humwelewi maaninaaa.
Nyie ndo mnafanya jf iwe inaandamwa mnatukana hata watu waliowazidi miaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakui tu?Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Mbona bingwa tokea hajapata hicho kiti wote tulikua tunamfaham kwa kutupia nondo kali na misumari ya nchi sita, nani amesahau aliposema kama hauna 200 piga mbizi. Mara ngapi alipelekesha bunge kuhusu matumizi ya barabara?
Lakini kubwa zaidi alikua muwazi zaidi kwa kusema huku alipo yeye kasukumizwa tu akajikuta yupo jumba jeupe. Hapo mnamshangaa au kumlaumu kwa kipi?
Yaani huyo ndio yeye! Sie ndio wa ajabu endapo tulitarajia atakua mnafiki abadilike kisa ameupata urais.
Nakala kwa rais wetu wanyanyua box
Nyani Ngabu
Tena ni kishindo cha CCM mpyaNa hiki ni kishindo cha awamu ya tano.
Katema mawe yasiyo na thamaniKweli katema madini hasaa tena madini aliyotema yanaeleweka tu vizuri
Sent from my iPhone using JamiiForums
Suala la mafuriko fuatilia vizuri mkuu, sisi wengine ndugu zetu wapo hukoAlichosema kina ukweli lakini mmmh! nahisi angepunguza ukali wa maneno, angewakumbusha tu wajifunze kuzingatia katazo la kuishi mabondeni.
Thubutuu!..Wanaharakati tuitishe mkutano na wanahabari kupinga na kulaani kauli za huyu mtu.