LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Asante mkuu, wengi hawajuiShida ninayoiona kwa wengi wetu ni kudhani kuwa mkurugenzi anachukua mil 470 kuagiza gari, jambo ambalo sio kweli....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu, wengi hawajuiShida ninayoiona kwa wengi wetu ni kudhani kuwa mkurugenzi anachukua mil 470 kuagiza gari, jambo ambalo sio kweli....
Kama nchi hatuwezi ku deal na ufisadi kwa kuangalia nani kufanya nn lini na wapi?.? Sheria kanuni na mfumo ipo kama haijafuatwa hicho ni kitu kingine. Ni matokeo ya kutegemea Rais /mtu badala ya taasisi inayoendeshwa kwa kujibu wa sheria. Juzi hapa mlitwambia rushes imeisha chini ya MAGUFULI hii nanini sasa???Ile gari ya Geita ni tsh 460,000,000.00 hii ya Temeke ni tsh 470,000,000.00
Hapa lazima kuna ufisadi!
Kweli mkuu Sheria zenyewe hazifuatwi Bali maneno ya kiongozi ndo yanafuatwa.Yaleyale ya kina ndugai ni mwendo wa kuvunja katiba waliyoapa kuilinda.Kama nchi hatuwezi ku deal na ufisadi kwa kuangalia nani kufanya nn lini na wapi?.? Sheria kanuni na mfumo ipo kama haijafuatwa hicho ni kitu kingine. Ni matokeo ya kutegemea raisi/mtu badala ya taasisi inayoendeshwa kwa kujibu wa sheria. Juzi hapa mlitwambia rushes imeisha chini ya MAGUFULI hii nanini sasa???
Jitahidi kuwa unasoma post na kuielewa kabla hujakimbilia kutoa ushuzi wako, hata kama unalipwa kwa kutetea basi jitahidi uwe unatetea mambo kwa hoja.Huyo Diwani aache uzwazwa. Huyo Mkurugenzi alijiandikia mhutasari wa kikao cha maazimio ya baraza la madiwani bila ya ridhaa ya madiwani?
Mbona wanakosa ujasiri wa kusimamia maamuzi yao?
Wote hao ni CCM mkuu acha watafunwe vizuriMnyakyusa ana Jeuri sana huyo
Sasahivi tunaongozwa kwa utashi wa mtu na siyo sheria na katibaKweli mkuu Sheria zenyewe hazifuatwi Bali maneno ya kiongozi ndo yanafuatwa.Yaleyale ya kina ndugai ni mwendo wa kuvunja katiba waliyoapa kuilinda.
Kweli kabisa Pm and amekalia kuti kavu, asipokuwa makini hili sakata huenda likamuondoa na kumpoteza mazima kwenye ulingo wa kisiasaMajaliwa ni jipu.Yeye ndo anaidhinisha manunuzi hayo, baada ya JPM kulalamika kaamua kugeuka. Ningekuwa JPM ningemtumbua PM
Maendeleo hayana vyama.Mitano Tena.Huyu ndio Mkurugenzi wa kwanza Tanzania kutengeneza mahabusu maalumu ya watumishi
CCM mliitaka wenyewe, tena kwa wizi wa kura, pambaneni sasa
Jana kuna wadau wa maendeleo waliachwa solemba tangu asubuhi 8.30 kwenye kikao cha wadau wote wenye viwanda mkoa wa Temeke kilichokuwa kiendeshwe na Mkuu wa wilaya. Wadau walisubiri huku madiwani wakila nyama na matikiti maji na baadae wakaja kuwatoa wadau kwenye ukumbi waliokaa huku wakipiga miayo ya njaa na kupelekwa kwenye ukumbi mwingine. mwishowe wadau wakaona ujinga wakajiondokea kurudi zao mazini.Kauli ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kuzitaka Halmashauri zilizonunua mashangingi ya bei mbaya mkoani Mwanza, kujieleza, imeendelea kuungwa mkono.
Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam, wameibua madai mazito wakidai sheria ya manunuzi ya umma haikuzingatiwa wakati wa ununuzi wa gari la Mkurugenzi wao.
Badala yake, madiwani hao wanamlalamikia Mkurugenzi huyo Lusubilo Mwakabibi, wakidai alitumia ubabe kuilazimisha kamati ya zabuni kutekeleza matakwa yake.
Gari lililonunuliwa na manispaa hiyo ni Toyota Landcruser VXR, kwa bei ya milioni 470, huku wadau wa maendeleo wakidai manispaa inakabiliwa na changamoto nyingi za kijamii.
Miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na uhaba wa vyumba vya madarasa kwa shule za msingi, Sekondari pamoja nakukosekana ama ukamilishwaji wa vituo vya afya.
Madiwani hao walidai japo matatizo ya kijamii Temeke yasingemalizwa na milioni 470 zilizotumika, lakini zingesaidia kupunguza adha za kijamii katika Manispaa hiyo kongwe.
Hata hivyo, Mkurugenzi huyo alipotakiwa kutolea ufafanuzi suala hilo, hakutaka kulizungumzia kwa kina, badala yake alikiri kuwa ni kweli wamenunua gari hilo.
Pia soma> Wito: Waziri Jafo tumeona maelekezo ya Geita na Mpanda ni maamuzi mazuri, Temeke je?
“Ni kweli, tumenunua gari hilo, lakini sina majibu kuhusu hilo, mimi ni mtumishi, kuna mamlaka zinazoweza kutoa majibu kwa niaba yangu kuhusu suala hilo, asante.” alisema Mwakabibi.
Mbali na ununuzi wa gari, pia wamedai kuna ubabe unaotekelezwa na Mkurugenzi huyo kwa watumishi wa idara ya mbalimbali ikiwano ile ya zabuni na manunuzi, matumizi ya ovyo ya fedha za Umma kwa ajili ya ukarabati wa ofisi yake na thamani za ofisi hiyo.
Pia walidai fedha zinatumika bila kuidhinishwa na kamati ya Fedha, kwa
ajili ya kazi zikiwemo ukarabati wa nyumba na ununuzi wa thamani za ofisi na nyumbani kwa mkurugenzi zikiwamo TV kubwa.
“Kuna kamati iliyokuja kuchunguza mambo kadhaa Temeke, kamati ile kwa hakika haikufanya kazi, badala yake imeacha majeraha kwa watumishi waliohojiwa.” aliongeza kusema diwani mwingine.
Madiwani hao wamemuomba Waziri Mkuu, kuchukulia hatua kali dhidi ya mambo yaliyotekelezwa na Mkurugenzi huyo na wengine aliosaidiana nao, ili kuwa fundisho.
Wamesema hawataki kumfundisha kazi Waziri Mkuu, lakini wanashauri, Mkurugenzi huyo asimamishwe kazi, ili kupisha uchunguzi wa mambo mbalimbali, likiwamo suala la kudhalilisha watumishi.
Waliongeza kusema kuwa, wapo watumishi waliofikisha madai yao kwa ngazi za Wilaya, kwa maana ya ofisi ya Mkuu wa wilaya hiyo wakati huo, DC Felix Lyaniva, lakini hakuna hatua zilizochukuliwa.
“Huyu ndio mkurugernzi wa kwanza Tanzania kutengeneza mahabusu maalumu ya watumishi, yaani mtumishi akichelewa kazini anawekwa mahabusu, ameweka kontena Manispaa kwa ajili hiyo, mtumishi anakaa mahabusu masaa kadhaa.” alisema mmoja wa diwani.
Waziri wa TAMISEMI Sulemani Jaffo, ambaye ndiye mamlaka ya nidhamu ya wakurugenzi nchini, hakuweza kupatikana kuzungumzia suala hilo, lakini madiwani hao walidai kumfikishia barua ya malalamiko.
Aliishapewa red light siku ya kuapa kwake, kwamba hana "gaurantee" ya kumaliza miaka 10! jambo linasukwa!!Majaliwa ni jipu.Yeye ndo anaidhinisha manunuzi hayo, baada ya JPM kulalamika kaamua kugeuka. Ningekuwa JPM ningemtumbua PM
Haina haja ya kuondoka na mtu. Watolee muongozo kusiwepo tena na magx sijui mavx sijui v8 na mengine ya aina hiyo. Hayo yawe kwa Rais na PM na makamu wa rais tu. Wengine wote mkonga na zile land cruiser sijui LX. Hivyo. From now onHii kitu itaondoka na Majaliwa
Serikali ya wanyonge inayowanyonga raiaIle gari ya Geita ni tsh 460,000,000.00 hii ya Temeke ni tsh 470,000,000.00
Hapa lazima kuna ufisadi!