Bora umesema..Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa.
Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu hukohuko kwa majirani. Hata migahawani kuna uwezekano ukapata msaada wa chakula kuliko kutuma copy-paste kwa members
Bora hata uombe fursa, kazi au connection kuliko kuomba hela moja kwa moja. wanadhani kila mtu wa JF ni tajiri. Ukweli ni kwamba sisi ni akina nyie tu tupo hapa kutafuta madini, maarifa na habari.
Yaani ndani ya wiki moja nakuta meseji tatu tofauti zote zinaanza na Bro sikujui hunijui ila nina shida, nisaidie hela ya kula.
Omba hadharani tu. Alafu unakuta mtu hapa hadharani anatukana na kujigamba kweli, baadaye unakuta pm kakuandikia anaomba hela aongezeee anunue gesi.sasa tukikwama tukaombe wapi bro 🤣🤣
Naomba hela.Omba hadharani tu. Alafu unakuta mtu hapa hadharani anatukana na kujigamba kweli, baadaye unakuta pm kakuandikia anaomba hela aongezeee anunue gesi.
DaahMimi kwenye PM yangu huwa nakuta messages za watu wakiomba niwape dawa ya kuongeza ukubwa wa uume.
Unajuaje kama ni watu wazima??ilifikia hatua ikatubidi kufunga pm, wengine ni watu wazima kabisa.
Kuna afu 3 imezagaa hapa tuma ac no au namba ya simu chapNaomba hela.
Kwa lipa nambaKuna afu 3 imezagaa hapa tuma ac no au namba ya simu chap
Hivi sio wewe kweli umekuja inbox kwangu muda si mrefusasa tukikwama tukaombe wapi bro 🤣🤣
Unawajua vipi kwamba huyu ni wa kike na huyu ni wa kiumewanawake hawana hizo pigo kabisa..
Hainogi kwa lipa namba , kwani nalipia nini ?Kwa lipa namba
Daah😂,unalipia muombolezo😂Hainogi kwa lipa namba , kwani nalipia nini ?