Shindii wadanganye watoto.Hahahaha I'd yangu inatumika na watu wawili tupo mapacha
Wewe mwenyewe ulishawachamba hao hao wanaoomba omba hela ukasema waombe michongo. Wengine uliwapa michongo wakazingua ukaja humu humu kuwananga. Acheni unafiki.Aseme kawapa watu wangapi humu michongo, mbona mimi wapo kibao nimewapa michongo na wanaomba michongo, kwanini yeye aombwe hela na sio michongo , kuna shida pahala😂
Sasa nyie wenyewe story zenu kila siku mnapiga pisi kali ambazo maintaining costs zao ni kubwa. Watu wanajimwambafai wanamaliza mpaka laki 5 kupata utelezi kwa siku moja tu. Kwanini madogo wasifikirie mna hela.Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa.
Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu hukohuko kwa majirani. Hata migahawani kuna uwezekano ukapata msaada wa chakula kuliko kutuma copy-paste kwa members
Bora hata uombe fursa, kazi au connection kuliko kuomba hela moja kwa moja. wanadhani kila mtu wa JF ni tajiri. Ukweli ni kwamba sisi ni akina nyie tu tupo hapa kutafuta madini, maarifa na habari.
Yaani ndani ya wiki moja nakuta meseji tatu tofauti zote zinaanza na Bro sikujui hunijui ila nina shida, nisaidie hela ya kula.
Kumbe hawana Hela looh😂Sasa nyie wenyewe story zenu kila siku mnapiga pisi kali ambazo maintaining costs zao ni kubwa. Watu wanajimwambafai wanamaliza mpaka laki 5 kupata utelezi kwa siku moja tu. Kwanini madogo wasifikirie mna hela.
mi nimezimisi za tajeeer wa singapol😅Sasa we kelele za hapa unazionaje,hakuna kujaribu zisikilizie kwanza😂😂😂😂
😂😂😂😂,yule walisema anafanya KAZI bar, hila jf🙌mi nimezimisi za tajeeer wa singapol😅
na alikua anapost pombe za wateja😅😅😅 fear people😂😂😂😂,yule walisema anafanya KAZI bar, hila jf🙌
Madongo wanayopigwa jf kuitwa ombaomba, waje pm kuomba hela unafikiri hawaogopi kuwekwa waziwanawake hawana hizo pigo kabisa..
Hahahahha,sijui ni baunsa🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️na alikua anapost pombe za wateja😅😅😅 fear people
Kwani usipowablock wanarudi tena?hii tabia ya mtu kuja inbox kuomba hela imenifanya nijifunze namna ya kum block mtu DM. nilikuaga sjui namna ya kublock mtu DM na nimejiunga jamii forum tangu 2019. wala usihangaike nae ww ukishaona sms yake bonyeza ile button ya "leave this conversation and ignore future messages " bas utakua umemalizana nae.
Sijaona muamala 😅Huwa nafurahi sana ukijitambulisha kama kaka jukwaani kwa sababu unaepusha wapumbavu wakufuate PM, jambo linalofanya uwe wangu daima 🥰.
Nitakuwa nimekosea namba 🙆Sijaona muamala 😅
🥹🥹🥹Nitakuwa nimekosea namba 🙆
Inauma zaidi 🥲
Iko wapi hiyo namba ? Mpaka afu 3 imepungua bhana nishanunua dk 100 za wiki nzimaDaah😂,unalipia muombolezo😂
Sawa,tuma Kwa namba.
ni mimi nibless tu mkuu nikale🤣Hivi sio wewe kweli umekuja inbox kwangu muda si mrefu
Daah🙄Iko wapi hiyo namba ? Mpaka afu 3 imepungua bhana nishanunua dk 100 za wiki nzima