secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kasema, "madogo wa kiume..." Kwenye title.Mbona kwenye post sijaona aliposema wanaomuomba hela ni wanaume, au tafsiri ya madogo ni vijana wa kiume? Maana mimi home hata wadogo zangu wa kike nawaita dogo
NimechukiaInauma zaidi 🥲
Tuvulie tu hali hii. Haitajirudia 🙏Nimechukia
Na shida na wewe naomba nifungulie PM yako basi Muslimah 🧕🙏Simple tu funga PM
Mimi ndio maana nimefunga sitaki tafrani PM kwangu
Wazabe nyundo nilidhani peke yangu tu.Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa.
Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu hukohuko kwa majirani. Hata migahawani kuna uwezekano ukapata msaada wa chakula kuliko kutuma copy-paste kwa members
Bora hata uombe fursa, kazi au connection kuliko kuomba hela moja kwa moja. wanadhani kila mtu wa JF ni tajiri. Ukweli ni kwamba sisi ni akina nyie tu tupo hapa kutafuta madini, maarifa na habari.
Yaani ndani ya wiki moja nakuta meseji tatu tofauti zote zinaanza na Bro sikujui hunijui ila nina shida, nisaidie hela ya kula.
My Wi! Kaka angu anajua kweli kuwa una shida ya hela?Daah😂,unalipia muombolezo😂
Sawa,tuma Kwa namba.
Fungua PM please! Nina shida na twenty.Simple tu funga PM
Mimi ndio maana nimefunga sitaki tafrani PM kwangu
Tuma ac no kabisa au namba ya simu PM kuna ishu naisikilizia hapa ikitiki tu nakupooza 😀😀😀Daah🙄
Sio ridhki yangu hiyo,
Keshasema Anza huko mitaani kwenu.sasa tukikwama tukaombe wapi bro 🤣🤣
🤣🤣🤣,hii ni aibu namba moja🚶♀️🚶♀️🚶♀️My Wi! Kaka angu anajua kweli kuwa una shida ya hela? 🤪
Oi PM imejaa tuma hiyo namba basi🤣🤣🤣,hii ni aibu namba moja🚶♀️🚶♀️🚶♀️
We dogo acha kuvamia watu usiowajua utakuja kuzabuliwa puru hilo.***** huyu muhogo atoe wapi.
Aaaah,usiniambie,,,,,sikiliza huo mchongo ukitiki nishtue😂Tuma ac no kabisa au namba ya simu PM kuna ishu naisikilizia hapa ikitiki tu nakupooza 😀😀😀
Mkuu jf ni pagumu kujua nani mwanaume nani mwanamke. Ukijumlisha na wanawake wanavyopigwa madongo kuhusu kuombaomba sio rahisi akaja pm na id yake inayojulikana. Lakini mtaani ambapo uhalisia haujifichi tunaona wanaombaomba sana wanawakeIla madogo wa kiume mnatudalilisha Kaka zenu, Baba zenu, Wajomba zenu. Msiwe mnavamia PM za watu bila hodi
Waacheni Mabinti wawe wanapiga mizinga wao tu. Halafu njaa huwa haiuwi myakubali maumivu ya leo ili kutengeneza kesho yenye historia.
Mimi huwa naanzisha uzi kwa ajili ya kutoa faraja au pongezi kwa mtu. Sio kwa mambo ya PM au labda nje ya JamiiforumsAaaah,usiniambie,,,,,sikiliza huo mchongo ukitiki nishtue😂
Halafu uje na Uzi kabisa😂😂jf 🙌