Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

Kwani usipowablock wanarudi tena?
am not sure kama wanarudi. but hua nina tabia ya ku block any conversation that am not interested in. mfano kuna wale watu wa mikopo hua wanapiga simu ili kushawishi mtu ukope, au kuna zile sms za matapeli. mm hua sibishan nao maana huwa nafikiria "why should I waste my energy arguing"? nachofanya nakataga smu afu nabonyeza tu button ya block afu ndo gudubaaaaaiiiiii
 
Naona unaiomba bani 😂
 
Mkuu Upo sahihi. Mwanzo Nilikuwa nasaidia kadri moyo wangu uliponiambia nisaidie but later nikaja kuona it’s a trend. Unamsaidia mtu week hii after two weeks anarudi tena , then anarudi tena… sijui huwa wanawaza nini.

Pia Mbaya zaidi hawaulizi au kuomba mchongo wa kazi, yeye anachojali ni kusaidiwa hela! Too bad kwa kweli.
 
Kwakuwa nimeambiwa we sio shoga, Nipo Mirerani hapa njoo ukalie mti nyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…