Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Concerning with economic and social partnership for development........Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Hapa hakuna Namba one magogoni.Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Kwa hiyo hata wasingesaini hakuna shida Mkuu?
Inaelekea hujui hata umuhimu wa signature kisheria
Eti hadi uone neno sell au sold, duh watanzania tumerogwa.Concerning with economic and social partnership for development........
Mnaosema bandari imeuzwa hamjui kingereza au? Neno kuuza Kwa kingereza ni sell/sold!.
Aloyelioja hapo anionyeshe
FafanuaTatizo lenu ni shule tu, hakuna zaidi.
Tunazungumzia signatories na uhalali wa walicho sign.Sijui kama unachoandika hapa hata wewe mwenyewe unayaelewa. Kwani mkataba mpaka sasa hauko ractified?
Unionyeshe na hatimiliki waliyopewa. Wew unaweza kununua kitu bila kupewa risitiEti hadi uone neno sell au sold, duh watanzania tumerogwa.
Sasa we umeona sehemu yoyote Serikali ya Dubai imesaini?kwahiyo dubai hawakusaini au vipi? tuliingia mkataba na nani sasa?
Faiza niletee page ambayo serikali ya Dubai imesaini, na aliyesaini na cheo chake! Ukilete hiyo sehemu mi kuanzia leo naunga mkono uo mkataba.Tatizo lenu ni shule tu, hakuna zaidi.
Huyo ni nduguyo alianza kutukana, ukweli bandari haiuzwi ila inawekezwa sasa labda hamtaki iwekezweMatusi hayataweza kuuza bandari yetu.
Binafsi naona hili bunge hopeless sana toka nchini ipate uhuru. Hakujawahi tokea kuwa na bunge hopeless kama hiliHuko kwenye Bunge kuridhia ndiko kuliko na makosa tele. Yote yatachimbuliwa tu, usiwe na hofu.
Unasubiri risti ya kuuzwa bandari, ngoja nikuache.Unionyeshe na hatimiliki waliyopewa. Wew unaweza kununua kitu bila kupewa risiti
Daah kichwa kama hiki unaweza kuta hata darasa la pili hakikufika. Tz kuna balaa sanaConcerning with economic and social partnership for development........
Mnaosema bandari imeuzwa hamjui kingereza au? Neno kuuza Kwa kingereza ni sell/sold!.
Aloyelioja hapo anionyeshe
Hao ndio waliomwangwa mitandaoni kusaidiana na akina zembwela kuwatetea waarabu, eti hajaona neno sold kwenye mkataba.Daah kichwa kama hiki unaweza kuta hata darasa la pili hakikufika. Tz kuna balaa sana
Haya ni matokeo na ushahidi kuwa si rais, waziri wala mwanasheria wake mkuu hawajui kiingereza. Nadhani waliandika kiingereza kwa kiswahili. Kilichokuwa kimekusudiwa hapa ni the empowerment of the minister to sign the said agreement on behalf of Tanzania in the agreement between Tanzania and Dubai. Hili ndilo balaa la kuwa na viongozi wanaopenda kutumia lugha za wenzao wakati hawaziwezi. Si wangeandika kwa kiswahili tu ikizingatiwa kuwa andiko au mamlaka haya yangetafsiriwa kwa lugha safi?Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Hapo Sasa unaambiwa Ukiwa Muongo usiwe MsahalifuMwakilishi wao alisaini kwa niaba ya nchi yake tuu.
View attachment 2686958
Wewe hueleweki ni PopoVipengele tata vipi zaidi ya kuropoka tu mambo anayosikia jumla jumla si angevitaja.
Makosa yanaanzia serikalini kushindwa ku control narrative ya serikali na kuteua watu kwenye technical position ambao sio civil servant.
A civil servant aliepikwa mpaka nafasi hiyo anaelewa awezi kwenda tofauti na official government lines of stance.
Ndio madhara ya kulipa fadhila na kuteua mitoto ya vigogo ata kama mijitu ya hovyo.