Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.

View attachment 2686950.
Concerning with economic and social partnership for development........
Mnaosema bandari imeuzwa hamjui kingereza au? Neno kuuza Kwa kingereza ni sell/sold!.
Aloyelioja hapo anionyeshe
 
Kwa hiyo hata wasingesaini hakuna shida Mkuu?
Inaelekea hujui hata umuhimu wa signature kisheria

Shida yenu mmtengeneza ‘listening bias’ na kupelekea kuwa na ‘communication barrier’.

Nimeweka article husika kutoka kwenye mkataba wa kimataifa kuhusu maswala ya treaty (hiyo ndio main law, kama kuna vipengele unless otherwise na hiyo sheria) basi utaitumia kuondoa mambo ambayo yapo kinyume nayo.

Hiyo article 18 inadadavua kipi kinafanya treaty (sio agreement nyingine yeyote) enforceable; kati ya signature na ratification.

Sasa kama utapitia hiyo link imefafanua wazi signatures pekee sio enforceable kwenye treaty; bila ya ratification. Na unaweza kujitoa kwenye treaty kama bado aijawa ratified kuwa sheria.

IGA ni mkataba wa kimataifa unaosimamiwa na Vienna Convention on Law of Treaties 1969. Sio mambo mnayofikiria nyie yanatakiwa kuwa vipi.
 
Concerning with economic and social partnership for development........
Mnaosema bandari imeuzwa hamjui kingereza au? Neno kuuza Kwa kingereza ni sell/sold!.
Aloyelioja hapo anionyeshe
Eti hadi uone neno sell au sold, duh watanzania tumerogwa.
 
Sijui kama unachoandika hapa hata wewe mwenyewe unayaelewa. Kwani mkataba mpaka sasa hauko ractified?
Tunazungumzia signatories na uhalali wa walicho sign.

Pitia post zangu zote utaelewa nimefikaje hapo.
 
Huko kwenye Bunge kuridhia ndiko kuliko na makosa tele. Yote yatachimbuliwa tu, usiwe na hofu.
Binafsi naona hili bunge hopeless sana toka nchini ipate uhuru. Hakujawahi tokea kuwa na bunge hopeless kama hili

Ushahidi ni huo.mkataba au wanavyoita sijui makubaliano waliopitisha wa DP World

Hakuna bunge pumbavu kama hiki toka nchi ipate uhuru hili.la kwanza
 
Concerning with economic and social partnership for development........
Mnaosema bandari imeuzwa hamjui kingereza au? Neno kuuza Kwa kingereza ni sell/sold!.
Aloyelioja hapo anionyeshe
Daah kichwa kama hiki unaweza kuta hata darasa la pili hakikufika. Tz kuna balaa sana
 
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.

View attachment 2686950.
Haya ni matokeo na ushahidi kuwa si rais, waziri wala mwanasheria wake mkuu hawajui kiingereza. Nadhani waliandika kiingereza kwa kiswahili. Kilichokuwa kimekusudiwa hapa ni the empowerment of the minister to sign the said agreement on behalf of Tanzania in the agreement between Tanzania and Dubai. Hili ndilo balaa la kuwa na viongozi wanaopenda kutumia lugha za wenzao wakati hawaziwezi. Si wangeandika kwa kiswahili tu ikizingatiwa kuwa andiko au mamlaka haya yangetafsiriwa kwa lugha safi?
 
Vipengele tata vipi zaidi ya kuropoka tu mambo anayosikia jumla jumla si angevitaja.

Makosa yanaanzia serikalini kushindwa ku control narrative ya serikali na kuteua watu kwenye technical position ambao sio civil servant.

A civil servant aliepikwa mpaka nafasi hiyo anaelewa awezi kwenda tofauti na official government lines of stance.

Ndio madhara ya kulipa fadhila na kuteua mitoto ya vigogo ata kama mijitu ya hovyo.
Wewe hueleweki ni Popo
Maana uchangiaji wako haueleweki
 
Back
Top Bottom