Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Hao ni wanasheria wa DPWorld ndiyo walioandika hicho kifungu wakakikosea makusudi ili na sisi tupate mahali pa kusahihisha angalau tuonekane tumeshiriki kuandika mkataba. Lakini wakaona tumeamua kusaini bila hata kurekebisha hilo kosa.
DP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?
 
Hatimaye mangungo tumempumzisha.. Sasa hivi y
Tuna Samia, Tulia, mbawara na majaliwa hao kamwe tunatakiwa tuwasome kwenye bogus treaties Tanzania
Wamekaa pale wanacheka mikataba ya hovyo ikipitishwa.
 
DP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?
Kwa mkataba kama huu?
20220521_101308.jpg
 
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.

View attachment 2686950.
Kawaida KIL*Z* anapokuwa kashika msikani. Wasaidizi kazi yao kusaidia siyo kuwa brains za kiongozi.
 
Binafsi naona hili bunge hopeless sana toka nchini ipate uhuru. Hakujawahi tokea kuwa na bunge hopeless kama hili

Ushahidi ni huo.mkataba au wanavyoita sijui makubaliano waliopitisha wa DP World

Hakuna bunge pumbavu kama hiki toka nchi ipate uhuru hili.la kwanza
Wewe si ndiyo mliwapeleka mjengon 2020
Kwa hiyo na wewe ni hopeless ndiyo products zetu hizo shabik wa mwendazake watu wa ovyo kabsaaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unatakiwa kusema hayo makosa, sio kuja na sweeping statements.
Sasa angalia ulivyokuwa makini mwenyewe.
Umesema "cherry picking" hapo juu, nikakutazama tu kwa huruma wala sikutaka kukugusa kuhusu hilo.
Hiyo unayoita "cherrypicking" unajua maana yake ni nini?
Hiyo nyaraka inayozungumzwa hapa, iwe ni "makubaliano", kama mnavyosisitiza nyinyi, huku mkijua ni 'legaly binding ducument', halafu mtu unakuja hapa na vimaneno, eti "cherrypicking"?

Nyinyi watu, itazameni Tanzania kwa jicho la huruma. Nchi hii ni tajiri, lakini ufukara wa wananchi wake ni matokeo ya watu kama nyinyi kuwepo kwenye nafasi msizostahili kabisa kuzishika; kwa sababu hamna uchungu na hali duni ya ndugu zenu hawa.

Wewe ninakuona kuwa kama mtu mwenye uelewa, lakini sijui hii attitude ya kuinua pua unaitoa wapi?
 
Tafuteni memorandum of understanding ya hiyo kampuni ya Dubai tuone ni ya nani, tuone wakurugenzi wake .
 
Tatizo lenu ni shule tu, hakuna zaidi.
Ni kweli tuna tatizo la shule, lakini wizi huu tunaouona kwa macho. Hiyo kampuni ya DP ni bortion tu lakini walioko nyuma ya hii deal ya kubinafsisha bandari zetu ni viongozi wetu. Rostam ndio aliyewasomea ramani viongozi wetu na kuwaletea hilo deal za kupora rasilimali za wananchi. Hapo hakuna mkataba na Serikali ya Dubai wala nini. Wajinga wameshtuka, subiri baada ya muda mfupi ukweli wote utakaa wazi na ww utajificha tu kama kipindi cha dhalimu.
 
Binafsi naona hili bunge hopeless sana toka nchini ipate uhuru. Hakujawahi tokea kuwa na bunge hopeless kama hili

Ushahidi ni huo.mkataba au wanavyoita sijui makubaliano waliopitisha wa DP World

Hakuna bunge pumbavu kama hiki toka nchi ipate uhuru hili.la kwanza
Lakini hadi leo hii watu kama yule anayejiita Msukuma, anajiapiza kabisa juu ya usahihi wa kazi waliyoifanya huko Bungeni.

Jambo linalosikitisha zaidi ni kuwa hata wale wanaotambulika kuwa na elimu ya kutosha huko bungeni; ni kama hawajawahi kabisa kuwa shuleni na kupata elimu ya kwawezesha kutambua mambo sahihi na batili kama hili la bandari.

Wewe ni mtu wa CCM, lakini ni wazi kabisa sasa kwamba chama chenu hiki kimefika kwenye hatua mbaya sana.
Hiki chama sasa kitatuingiza kwenye matatizo kama taifa.
 
Back
Top Bottom