FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
DP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?Hao ni wanasheria wa DPWorld ndiyo walioandika hicho kifungu wakakikosea makusudi ili na sisi tupate mahali pa kusahihisha angalau tuonekane tumeshiriki kuandika mkataba. Lakini wakaona tumeamua kusaini bila hata kurekebisha hilo kosa.