DP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?Hao ni wanasheria wa DPWorld ndiyo walioandika hicho kifungu wakakikosea makusudi ili na sisi tupate mahali pa kusahihisha angalau tuonekane tumeshiriki kuandika mkataba. Lakini wakaona tumeamua kusaini bila hata kurekebisha hilo kosa.
kwamba waliosaini hawana?Elimu nzuri jamani
Kwani Bi chausiku ana elimu gani?Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
inama sindano iingieDP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?
Kwa makubaliano dhalimu kama haya?DP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?
Ukraine nayo ni nchi? Wale ni wahuni/comedians waliowekwa na CIA kuiteketeza iliyokuwa Ukraine zamani.DP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?
Weka hapa mkataba wa Ukraine tuusome.DP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?
Wamekaa pale wanacheka mikataba ya hovyo ikipitishwa.Hatimaye mangungo tumempumzisha.. Sasa hivi y
Tuna Samia, Tulia, mbawara na majaliwa hao kamwe tunatakiwa tuwasome kwenye bogus treaties Tanzania
Ukraine hii hii ya wavutabangi?Ohooo sasa mambo mapya kabisa.
Nyie wapinga DP World, Ukraine wanataka DP World iendeshe bandari zao zote wanasema wezi wengi.
Labda hiyo DPW ni yakeImetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Kwa mkataba kama huu?DP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?
Kawaida KIL*Z* anapokuwa kashika msikani. Wasaidizi kazi yao kusaidia siyo kuwa brains za kiongozi.Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
DP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?
Wewe si ndiyo mliwapeleka mjengon 2020Binafsi naona hili bunge hopeless sana toka nchini ipate uhuru. Hakujawahi tokea kuwa na bunge hopeless kama hili
Ushahidi ni huo.mkataba au wanavyoita sijui makubaliano waliopitisha wa DP World
Hakuna bunge pumbavu kama hiki toka nchi ipate uhuru hili.la kwanza
Kuna wazaletndo waliobaki Tanzania?Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Maisha yanakwenda speed saaana hahahahah hahahaha 😂Wewe si ndiyo mliwapeleka mjengon 2020
Kwa hiyo na wewe ni hopeless ndiyo products zetu hizo shabik wa mwendazake watu wa ovyo kabsaaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa angalia ulivyokuwa makini mwenyewe.Unatakiwa kusema hayo makosa, sio kuja na sweeping statements.
Ni kweli tuna tatizo la shule, lakini wizi huu tunaouona kwa macho. Hiyo kampuni ya DP ni bortion tu lakini walioko nyuma ya hii deal ya kubinafsisha bandari zetu ni viongozi wetu. Rostam ndio aliyewasomea ramani viongozi wetu na kuwaletea hilo deal za kupora rasilimali za wananchi. Hapo hakuna mkataba na Serikali ya Dubai wala nini. Wajinga wameshtuka, subiri baada ya muda mfupi ukweli wote utakaa wazi na ww utajificha tu kama kipindi cha dhalimu.Tatizo lenu ni shule tu, hakuna zaidi.
Lakini hadi leo hii watu kama yule anayejiita Msukuma, anajiapiza kabisa juu ya usahihi wa kazi waliyoifanya huko Bungeni.Binafsi naona hili bunge hopeless sana toka nchini ipate uhuru. Hakujawahi tokea kuwa na bunge hopeless kama hili
Ushahidi ni huo.mkataba au wanavyoita sijui makubaliano waliopitisha wa DP World
Hakuna bunge pumbavu kama hiki toka nchi ipate uhuru hili.la kwanza