Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Lidudu la hovyo bichwa hovyo na akili hovyo na macho degedege kusoma, kufikiri na kuelewa vyote shida. Puu puuu puuu
 
They outsmarted us. In most of these documents they do not put down their names, just their signatures. On our side, names and signatures appear in all documents. The Namibian did not fall for this ruse, on our side we swallowed the hook, sinker and line. We'll be in for it.
 
Hakika wamemdhalilisha sana Raisi.
Haieleweki kwanini hawatulii na kusoma kwa makini.

Pia wanaweza kuwapa wataalam wengine wawasaidie kama Walimu wa vyuo Kikuu hata kwa Malipo.
Kina Kabudi au mbona ni walewale tuu.
 
Huu mkataba ni kichaa na mwendawazimu pekee anayeweza kuukubali.r.i.p mzalendo magufuli
Huyo ndiye katuzalishia matatizo yote haya. Ndiye aliyeteua mgombea mwenza ambaye sasa ndiye rais, ndiye aliyeleta sheria za hovyo za Kinga dhidi ya spika na naibu na ndiye aliyelazimisha bunge kibogoyo la chama kimoja
 
Aiseee hii nchi ina vipindi vingi vinavyo fanana na futuhi …futuhi nyingine ni huu mkataba na mambo ya viongozi wetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna kitu kinanishangaza,Rais alituambia kuwa pro kabudi ndio atakua mkuu wa mashauriano yote ya mikataba,sijaaikia Kama ameongea lolote,ikiwa ndiye kiongozi wa majadiliano ya mikataba ya kimataifa
.
 
Hii instrument of power ni null and void, hivyo mkataba pia ni null and void🙂
Si null and void, ni batili kwa upande wa Mbarawa kusaini kwa niaba ya serikali ya Dubai.

Ni kama Samia kajipa nguvu alizonazo na asizo nazo.

Halafu Mbarawa katumia tu nguvu ambazo Samia anazo.

Mbarawa hajasaini kwa niaba ya serikali ya Dubai.

Na hata kama angesaini kwa niaba ya serikali ya Dubai, watu wa Dubai wakikubali hapo hakuna shida.
 
Hadi hapo mkataba ni FAKE na BATILI.

Kuna mtu ana swali?
 
Samia alitoa mamlaka ya mkataba wa bandari kusainiwa kwa niaba ya Dubai wakati yeye ni Rais wa Tanzania, haijawahi tokea Duniani, ni zaidi ya ukilaza, na yeye hujifanya mjanja anajua kumbe ana ungua jua, ccm kiboko.
Magu: Sa 100 ana wajomba Dubei,

Labda ndomana akasaini Kwa niaba ya sirikali ya huko!!!

Najaribu tu kuwaza!!
 
Concerning with economic and social partnership for development........
Mnaosema bandari imeuzwa hamjui kingereza au? Neno kuuza Kwa kingereza ni sell/sold!.
Aloyelioja hapo anionyeshe
Anzisha mada yako tuzungumzie hilo, hapa tunajadiliana kiunganishi --AND-- Samia katuma waziri akasaini kwa niaba ya nchi mbili. Leo wameshindwa kuelezea kipengere hiki, wakabaki kurukaruka na kusingizia typing error. Kwamba hakuna alieweza kuiona hii kweli kwa uzito wa hii document.
 
On behalf of Tanzania and the government of Dubai concerning………..

That’s a single statement.

Ana sign kwa niaba ya Tanzania na Serikali ya Dubai kwenye maswala ya makubaliano……..

Tanzania and Dubai ni two parties involved in the agreement.

Wewe ulitaka iweje maana ni ile ile na kilichoandikwa na upande wa Dubai tofauti ni wording tu.

Mwisho wa siku hizo signatures au difference in wording hazifanyi articles za IGA kuwa sheria isipokuwa the process of ratification.

It’s just a fuss about nothing
Jerry Slaa sheria yako uliyosoma kwa kudesa ni shida sana.
Unasaini vipi kwa niaba ya nchi nyingine?Kwani wao hawajui kusaini?
Au ndo ule utwana na waarabu ni mamwinyi tunawasainia?!
 
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.

View attachment 2686950.
Kiingereza cha Shakespeare ndicho kilichotumika hapo siyo cha Juma na Rosa.
57So the Jews said to him, “You are not yet fifty years old, and have you seen Abraham?” 58Jesus said to them, “Truly, truly, I say to you, before Abraham was, I am.” 59So they picked up stones to throw at him, but Jesus hid himself and went out of the temple.”
 
Back
Top Bottom