Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Lidudu la hovyo bichwa hovyo na akili hovyo na macho degedege kusoma, kufikiri na kuelewa vyote shida. Puu puuu puuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia ni noma. Kumbe yeye pia ni president wa Dubei?Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Kina Kabudi au mbona ni walewale tuu.Hakika wamemdhalilisha sana Raisi.
Haieleweki kwanini hawatulii na kusoma kwa makini.
Pia wanaweza kuwapa wataalam wengine wawasaidie kama Walimu wa vyuo Kikuu hata kwa Malipo.
Huyo ndiye katuzalishia matatizo yote haya. Ndiye aliyeteua mgombea mwenza ambaye sasa ndiye rais, ndiye aliyeleta sheria za hovyo za Kinga dhidi ya spika na naibu na ndiye aliyelazimisha bunge kibogoyo la chama kimojaHuu mkataba ni kichaa na mwendawazimu pekee anayeweza kuukubali.r.i.p mzalendo magufuli
Si null and void, ni batili kwa upande wa Mbarawa kusaini kwa niaba ya serikali ya Dubai.Hii instrument of power ni null and void, hivyo mkataba pia ni null and void🙂
Magu: Sa 100 ana wajomba Dubei,Samia alitoa mamlaka ya mkataba wa bandari kusainiwa kwa niaba ya Dubai wakati yeye ni Rais wa Tanzania, haijawahi tokea Duniani, ni zaidi ya ukilaza, na yeye hujifanya mjanja anajua kumbe ana ungua jua, ccm kiboko.
Anzisha mada yako tuzungumzie hilo, hapa tunajadiliana kiunganishi --AND-- Samia katuma waziri akasaini kwa niaba ya nchi mbili. Leo wameshindwa kuelezea kipengere hiki, wakabaki kurukaruka na kusingizia typing error. Kwamba hakuna alieweza kuiona hii kweli kwa uzito wa hii document.Concerning with economic and social partnership for development........
Mnaosema bandari imeuzwa hamjui kingereza au? Neno kuuza Kwa kingereza ni sell/sold!.
Aloyelioja hapo anionyeshe
Wewe usiye na tatizo la shule tupe ufafanuzi wa kisomi kama unaweza kufanya hivyo.Tatizo lenu ni shule tu, hakuna zaidi.
Na wewe una tatizo la shule pia?.Kwani mkataba unaingiwa baina ya nchi ipi na ipi?
Ulivyo mdini jpm ulimpinga hadi kwenye mambo mazurisana tena, uwezo wako ni mkubwa sana, lakini cha ajabu wenye uwezo mdogo ndiyo wanakuongoza!
Kazi ya Mungu haina makosa.
Jerry Slaa sheria yako uliyosoma kwa kudesa ni shida sana.On behalf of Tanzania and the government of Dubai concerning………..
That’s a single statement.
Ana sign kwa niaba ya Tanzania na Serikali ya Dubai kwenye maswala ya makubaliano……..
Tanzania and Dubai ni two parties involved in the agreement.
Wewe ulitaka iweje maana ni ile ile na kilichoandikwa na upande wa Dubai tofauti ni wording tu.
Mwisho wa siku hizo signatures au difference in wording hazifanyi articles za IGA kuwa sheria isipokuwa the process of ratification.
It’s just a fuss about nothing
Kiingereza cha Shakespeare ndicho kilichotumika hapo siyo cha Juma na Rosa.Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.