Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?

Umeisoma vizuri post namba 1? Kwanini bodi hiyo ilipovunjwa mwaka mmoja tu baadae TICTS ikaondolewa?
"Pia aligusia juu ya idhini ya zabuni bandia na Shirika la Usafirishaji, huku akijua kuwa vigezo sahihi havikufuatwa na bodi ilihusika katika idhini na serikali ilikuja tu kujua baada ya kutuma watu nchini Uturuki kuchunguza kampuni hiyo".

Hicho kilichofanywa hapo juu ndicho hata sasa kimefanyika kwa DP World, hebu tujiulize Zabuni ya kukodisha Bandari yetu;

1. Ilitangazwa lini?

2. Kwenye chapisho gani la gazeti la Serikali?

3. Kwa masharti yapi au vigezo vipi?

4. Kampuni ngapi zilishindanishwa?

5. Nani alishinda kati ya hizo kampuni?.

Kosa walilofanya wenzake na yeye amelifanya hilo hilo. Sasa ni nani anaweza kunyoosha kidole kwa mwenzake.

Wenzanke walikula kwa urefu wa kamba yao na yeye anakula kwa urefu wa Kamba yake kupitia kwa Wajomba.
 
Hakuna madudu yanayozidi yale yaliyofanywa na Samia mwenyewe, kuwapa bandari zetu zote Tanganyika wajomba zake milele.
We jamaa unateseka sana aisee,unahangaika sana.naona jahazi linazama ila tu unajaribu kupiga mbizi japo huna utaalamu wa kuogelea,DPW wakianza kazi sijui utabadili hiki ki ID chako!

Una acha kujadili mada unarukia vitu vingine kabisa,upigaji Bandarini utakua historia.
 
The truth is Eric Hamisi aliondokewa ili kurahisisha kazi ya kuwaleta DPW. Utakumbuka, hii ilikuwa siku chache baada ya ku kutoka Dubai Expo ambako mkataba wa DPW ulisainiwa.

Erick alikuwa anasisitiza utaratibu ufuatwe ikiwa ni pamoja na kutangaza tender
 
Unajua hili jambo nililifikiria sana hivihivi, ninavyomjua Eric nikafikiri hili linaweza kuwa ndilo jambo lililimtoa pale.
 
Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao.

Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba 0 hadi 7 katika bandari ya Dar es Salaam.

Kabla ya tangazo hilo, Rais Samia alieleza baadhi ya mapungufu yanayoikabili mamlaka hiyo, baadhi yake yakiwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akihoji kwa nini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa.

Bodi ya TPA inaundwa na mwenyekiti wake Prof Ignas Rubaratuka na naibu wake ni Dk Delphine Magere. Wajumbe hao ni Malata Pascal, Dk Jabiri Bakari, Masanja Kadogosa, Jayne Nyimbo, Mhandisi Ephrem Kirenga na Eric Hamissi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Bandari.

Aidha, ameitaka PCCB kuchunguza bodi hizo kwa kile kinachoendelea bandarini na kuwachukulia hatua waliohusika na upotevu wa fedha uliotajwa katika ripoti hiyo.

"Mkurugenzi, PCCB nakuagiza uchukue hatua dhidi ya watu hawa haraka iwezekanavyo na kama hakuna taarifa nitakupa maelezo ya kilichotokea hapa," alisema Rais Samia.

Alisema mifumo ya malipo bandarini kwa muda mrefu imekuwa ikiendeshwa na watumishi jambo ambalo linaonesha kuwa mizigo imekuwa ikilipiwa langoni lakini kwa maana halisi si kweli inasababisha upotevu wa mapato kwa nchi.

Alitoa wito kwa shirika la kupambana na rushwa kuja na majibu ya kwa nini yote haya yanatokea bado bodi na wafanyakazi waliohusika bado wako ofisini.

Pia aligusia juu ya idhini ya zabuni bandia na Shirika la Usafirishaji, huku akijua kuwa vigezo sahihi havikufuatwa na bodi ilihusika katika idhini na serikali ilikuja tu kujua baada ya kutuma watu nchini Uturuki kuchunguza kampuni hiyo.

Alimtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kuchukua hatua za haraka na endapo atashindwa, anapaswa kumjulisha ili kuchukua hatua zinazohitajika ikiwa ni pamoja na kumteua waziri mpya.

Chanzo: Tanzania: President Samia Dissolves Tanzania Ports Authority, Shipping Corporation Boards

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bonyeza +255 tufurahi pamoja. Mama kafanya mengi mazuri na makubwa hilo halina ubishi Faidha, akitaka awe Mama Wa Taifa, aiweke Sawa lile zimwi la DP World basi tutamfia kila kona ya Tanganyika.
 
The truth is Eric Hamisi aliondokewa ili kurahisisha kazi ya kuwaleta DPW. Utakumbuka, hii ilikuwa siku chache baada ya ku kutoka Dubai Expo ambako mkataba wa DPW ulisainiwa.

Erick alikuwa anasisitiza utaratibu ufuatwe ikiwa ni pamoja na kutangaza tender
... absolutely right! Huyo mleta uzi anajitoa ufahamu kama kawaida yake.
 
"Mkurugenzi, PCCB nakuagiza uchukue hatua dhidi ya watu hawa haraka iwezekanavyo na kama hakuna taarifa nitakupa maelezo ya kilichotokea hapa," alisema Rais Samia
Asante. PCCB alimpelekea ripoti? Au walikaidi agizo la Rais?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bonyeza +255 tufurahi pamoja. Mama kafanya mengi mazuri na makubwa hilo halina ubishi Faidha, akitaka awe Mama Wa Taifa, aiweke Sawa lile zimwi la DP World basi tutamfia kila kona ya Tanganyika.
"Tuataangalia mambo kama yatakuwa mabaya sana..."katika sauti ya mstaafu
 
Wewe una haki ya kufikiri upendacho. Lakini ukweli ni huo. Tena hayo ni machache sana.

Jiulize, kwanini mwaka huu tumeweza kuipiku bandari ya Mombasa kwa wingi wa mizigo kuliko miaka yote ya nyuma?

Nini kilikuwa kinafanyika?
Maboresho ya hizo Gati no 0 Hadi 7 ndio yalioleteleza kuongezeka Kwa hiyo mizigo .
 
Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao.

Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba 0 hadi 7 katika bandari ya Dar es Salaam.

Kabla ya tangazo hilo, Rais Samia alieleza baadhi ya mapungufu yanayoikabili mamlaka hiyo, baadhi yake yakiwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akihoji kwa nini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa.

Bodi ya TPA inaundwa na mwenyekiti wake Prof Ignas Rubaratuka na naibu wake ni Dk Delphine Magere. Wajumbe hao ni Malata Pascal, Dk Jabiri Bakari, Masanja Kadogosa, Jayne Nyimbo, Mhandisi Ephrem Kirenga na Eric Hamissi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Bandari.

Aidha, ameitaka PCCB kuchunguza bodi hizo kwa kile kinachoendelea bandarini na kuwachukulia hatua waliohusika na upotevu wa fedha uliotajwa katika ripoti hiyo.

"Mkurugenzi, PCCB nakuagiza uchukue hatua dhidi ya watu hawa haraka iwezekanavyo na kama hakuna taarifa nitakupa maelezo ya kilichotokea hapa," alisema Rais Samia.

Alisema mifumo ya malipo bandarini kwa muda mrefu imekuwa ikiendeshwa na watumishi jambo ambalo linaonesha kuwa mizigo imekuwa ikilipiwa langoni lakini kwa maana halisi si kweli inasababisha upotevu wa mapato kwa nchi.

Alitoa wito kwa shirika la kupambana na rushwa kuja na majibu ya kwa nini yote haya yanatokea bado bodi na wafanyakazi waliohusika bado wako ofisini.

Pia aligusia juu ya idhini ya zabuni bandia na Shirika la Usafirishaji, huku akijua kuwa vigezo sahihi havikufuatwa na bodi ilihusika katika idhini na serikali ilikuja tu kujua baada ya kutuma watu nchini Uturuki kuchunguza kampuni hiyo.

Alimtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kuchukua hatua za haraka na endapo atashindwa, anapaswa kumjulisha ili kuchukua hatua zinazohitajika ikiwa ni pamoja na kumteua waziri mpya.

Chanzo: Tanzania: President Samia Dissolves Tanzania Ports Authority, Shipping Corporation Boards
Atakayekuja bado pia ataibua madudu kila kiongozi lazima aje na maigizo yake ili asimike walio wake!
 
"Pia aligusia juu ya idhini ya zabuni bandia na Shirika la Usafirishaji, huku akijua kuwa vigezo sahihi havikufuatwa na bodi ilihusika katika idhini na serikali ilikuja tu kujua baada ya kutuma watu nchini Uturuki kuchunguza kampuni hiyo".

Hicho kilichofanywa hapo juu ndicho hata sasa kimefanyika kwa DP World, hebu tujiulize Zabuni ya kukodisha Bandari yetu;

1. Ilitangazwa lini?

2. Kwenye chapisho gani la gazeti la Serikali?

3. Kwa masharti yapi au vigezo vipi?

4. Kampuni ngapi zilishindanishwa?

5. Nani alishinda kati ya hizo kampuni?.

Kosa walilofanya wenzake na yeye amelifanya hilo hilo. Sasa ni nani anaweza kunyoosha kidole kwa mwenzake.

Wenzanke walikula kwa urefu wa kamba yao na yeye anakula kwa urefu wa Kamba yake kupitia kwa Wajomba.
Na ame Fanya kwenye kitu Chenye thamani kubwa Sana
 
Nimekuwa nafuatilia this Bandari thing from afar. I see no relation between kuhusu kuvunjwa kwa Bodi, Uchunguzi wa makusanyo madogo na Uwekezaji.
Kwamba madudu yalioibuliwa ni yenye ukakasi zaidi ya yaliyo kwenye MOU?
I do not get it! Nani anazungumziwa? Hazungumziwi?
Faiza kavurugwa, Magufuli alimtia Pini akakimbia Hadi account yake, Faiza aliishi kama digidigi, Sasa ndio anajitutumua hapa
 
Ukute alikua anatuandaa tu kisaikolojia kutupiga Wala hakukua na madudu! CCM wote ni majizi tu
Nimefuta nilichokiandika. Tanzania inatia huruma sana. Yaani ni kama inataka kufanana na DRC. Rais yupo, Kila kitu anacho, lakini ni kama anamuogopa mtu au watu. Mpaka unaamua kuvunja bodi maana yake Kuna ubaya umeuona, enheee halafu? Unamsimamisha mtu kazi kwa ubadhilifu, halafu? Tumekumbatia demokrasia wakati haitusaidii na hatuwezi. Twendeni kama wakomunisti TU, nadhani itatusaidia.
 
Ni ujinga kwa kiongozi yeyote kuogopa upigaji wa watu wake kwa kushindwa kuwachukulia hatua akaamua kuwasusia
 
Back
Top Bottom