Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faiza Fox,tunadanganywa vipi,acha ujinga,kwani sisi hatuwezi kusoma mkataba!I never believed you are such a stupid lady.Wewe most likely ni Mnzazibari ambao ndio mnaouza mali za Watanganyika,Binti Mangungo,Mbarawa na Masauni.This is a Zanzibari conspiracy against Tanganyikans and we won't let it go.Sasa hivi si mnadanganywa na hao walioporwa na tonge la wizi mdomoni.
Umeisoma post #1?
Tena ilitangazwa hata mimi nimeiona mtandaoni na zikajitokeza kampuni tatu, DP World, Adani na AD World au AD Ports.The truth is Eric Hamisi aliondokewa ili kurahisisha kazi ya kuwaleta DPW. Utakumbuka, hii ilikuwa siku chache baada ya ku kutoka Dubai Expo ambako mkataba wa DPW ulisainiwa.
Erick alikuwa anasisitiza utaratibu ufuatwe ikiwa ni pamoja na kutangaza tender
Hapana mimi si Mzanzibari lakini kutokuwa Mzanzibari hakunipi fursa ya kuwatenga au kuwabaguwa Wazanzibari.Faiza Fox,tunadanganywa vipi,acha ujinga,kwani sisi hatuwezi kusoma mkataba!I never believed you are such a stupid lady.Wewe most likely ni Mnzazibari ambao ndio mnaouza mali za Watanganyika,Binti Mangungo,Mbarawa na Masauni.This is a Zanzibari conspiracy against Tanganyikans and we won't let it go.
Wagalatia ndio chanzo cha kelele, Rais hasiwasikilize hao maaskoffu majizi, apige kazi,hao wezi wa hela za escrowMiezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao.
Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba 0 hadi 7 katika bandari ya Dar es Salaam.
Kabla ya tangazo hilo, Rais Samia alieleza baadhi ya mapungufu yanayoikabili mamlaka hiyo, baadhi yake yakiwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akihoji kwa nini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa.
Bodi ya TPA inaundwa na mwenyekiti wake Prof Ignas Rubaratuka na naibu wake ni Dk Delphine Magere. Wajumbe hao ni Malata Pascal, Dk Jabiri Bakari, Masanja Kadogosa, Jayne Nyimbo, Mhandisi Ephrem Kirenga na Eric Hamissi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Bandari.
Aidha, ameitaka PCCB kuchunguza bodi hizo kwa kile kinachoendelea bandarini na kuwachukulia hatua waliohusika na upotevu wa fedha uliotajwa katika ripoti hiyo.
"Mkurugenzi, PCCB nakuagiza uchukue hatua dhidi ya watu hawa haraka iwezekanavyo na kama hakuna taarifa nitakupa maelezo ya kilichotokea hapa," alisema Rais Samia.
Alisema mifumo ya malipo bandarini kwa muda mrefu imekuwa ikiendeshwa na watumishi jambo ambalo linaonesha kuwa mizigo imekuwa ikilipiwa langoni lakini kwa maana halisi si kweli inasababisha upotevu wa mapato kwa nchi.
Alitoa wito kwa shirika la kupambana na rushwa kuja na majibu ya kwa nini yote haya yanatokea bado bodi na wafanyakazi waliohusika bado wako ofisini.
Pia aligusia juu ya idhini ya zabuni bandia na Shirika la Usafirishaji, huku akijua kuwa vigezo sahihi havikufuatwa na bodi ilihusika katika idhini na serikali ilikuja tu kujua baada ya kutuma watu nchini Uturuki kuchunguza kampuni hiyo.
Alimtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kuchukua hatua za haraka na endapo atashindwa, anapaswa kumjulisha ili kuchukua hatua zinazohitajika ikiwa ni pamoja na kumteua waziri mpya.
Chanzo: Tanzania: President Samia Dissolves Tanzania Ports Authority, Shipping Corporation Boards
Bibi kwani Kuna anayepinga Samia kuibua madudu?Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao.
Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba 0 hadi 7 katika bandari ya Dar es Salaam.
Kabla ya tangazo hilo, Rais Samia alieleza baadhi ya mapungufu yanayoikabili mamlaka hiyo, baadhi yake yakiwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akihoji kwa nini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa.
Bodi ya TPA inaundwa na mwenyekiti wake Prof Ignas Rubaratuka na naibu wake ni Dk Delphine Magere. Wajumbe hao ni Malata Pascal, Dk Jabiri Bakari, Masanja Kadogosa, Jayne Nyimbo, Mhandisi Ephrem Kirenga na Eric Hamissi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Bandari.
Aidha, ameitaka PCCB kuchunguza bodi hizo kwa kile kinachoendelea bandarini na kuwachukulia hatua waliohusika na upotevu wa fedha uliotajwa katika ripoti hiyo.
"Mkurugenzi, PCCB nakuagiza uchukue hatua dhidi ya watu hawa haraka iwezekanavyo na kama hakuna taarifa nitakupa maelezo ya kilichotokea hapa," alisema Rais Samia.
Alisema mifumo ya malipo bandarini kwa muda mrefu imekuwa ikiendeshwa na watumishi jambo ambalo linaonesha kuwa mizigo imekuwa ikilipiwa langoni lakini kwa maana halisi si kweli inasababisha upotevu wa mapato kwa nchi.
Alitoa wito kwa shirika la kupambana na rushwa kuja na majibu ya kwa nini yote haya yanatokea bado bodi na wafanyakazi waliohusika bado wako ofisini.
Pia aligusia juu ya idhini ya zabuni bandia na Shirika la Usafirishaji, huku akijua kuwa vigezo sahihi havikufuatwa na bodi ilihusika katika idhini na serikali ilikuja tu kujua baada ya kutuma watu nchini Uturuki kuchunguza kampuni hiyo.
Alimtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kuchukua hatua za haraka na endapo atashindwa, anapaswa kumjulisha ili kuchukua hatua zinazohitajika ikiwa ni pamoja na kumteua waziri mpya.
Chanzo: Tanzania: President Samia Dissolves Tanzania Ports Authority, Shipping Corporation Boards
Nimeusoma sana huo mkataba,naujua Mwanzo mwisho jinsi ulivyo wa hovyo.Kama wewe huoni ubaya wake ni kihiyo,full stop.Hivi niamini kwamba hujaona kwamba huo mkataba hauna time limit,such a simple thing to see!Narudia wewe ni kihiyo,sina haja ya ku-argue na wewe.Hapana mimi si Mzanzibari lakini kutokuwa Mzanzibari hakunipi fursa ya kuwatenga au kuwabaguwa Wazanzibari.
Bofya chini hapa kuna huo "mkataba" unielee tatizo lake nini. Usisikie porojo za awakili waliolipwa kutetea ujinga.
DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)
MAKUBALIANO YA KISERIKALI KATI YA: ΤHΕ UNITED REPUBLIC 0F TANZANIA AND THE EMIRATE 0F DUBAI https://www.jamiiforums.com/attachments/dar_port_contract_mkataba-pdf.2682567/ UTANGULIZI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, iliyowakilishwa ipasavyo na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (“Tanzania”) na...www.jamiiforums.com
Nakuaminia Rafiki yangu, uhali Gani lakini?Hajayasema mengi sana, ukiyasikia utaona tumechelewa sana.
Soma machache post #1.
Time limit ya nini?Nimeusoma sana huo mkataba,naujua Mwanzo mwisho jinsi ulivyo wa hovyo.Kama wewe huoni ubaya wake ni kihiyo,full stop.Hivi niamini kwamba hujaona kwamba huo mkataba hauna time limit,such a simple thing to see!Narudia wewe ni kihiyo,sina haja ya ku-argue na wewe.
Ndio wameamua kuwa makuwadi kwa kutumia taaluma zao!
Ni aibu na laana kuu kwao na uzao wao! Unauza utu wako na kufanya dhuluma kuu kwa wananchi wenzako KISA tu umepewa RUSHWA! laana kubwa sana hii.
Mama hakubaliki nanhajui kuongoza wa kuchukua hatua ,nchi hii haitaki mtu wa aina hiyo