Utakufa kwa sonona weyeHakuna madudu yanayozidi yale yaliyofanywa na Samia mwenyewe, kuwapa bandari zetu zote Tanganyika wajomba zake milele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakufa kwa sonona weyeHakuna madudu yanayozidi yale yaliyofanywa na Samia mwenyewe, kuwapa bandari zetu zote Tanganyika wajomba zake milele.
Mlizowea utawala usiofata sheria eeh? Jisomee halafu kamuulize huyu:Kama hakuna aliyepo lupango basi ni abracadabra tu.The cadava generation!
Miaka mingi uliyapiga wapi kelele, weka ushahidi. Halfu tuoneshe ni nani alichukuwa hatua ipi zidi ya alizochukuwa mama Samia?Yote hayo yanajulikana na tumekuwa tukiyapigia sana kelele kwa miaka mingi. Tunavyombo vya kiuchunguzi, tuna vyombo vya usalama, tuna uongozi tuna kila kitu lakini bado yote hayo yamefanyika mbele ya vyote hivyo.
Suluhu ya hayo haikua kuletewa mapendekezo ya kipumbavu vile utadhani nchi ni ya mazezeta.
Hilo tayari, kwanza mashirika yote ysiyojiendesha kwa faida, yanaondoka. Tunarudisha enzi za Mkapa kwa kasi zaidi.Mimi ushauri wangu huu uwekezaji usiishie kwenye bandari, kila ikisomwa ripoti ya CAG Ofisi yoyote itakayokutwa na mapungufu apewe mwekezaji🐒
Mapungufu kwenye kuwakabidhi dp world,Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao.
Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba 0 hadi 7 katika bandari ya Dar es Salaam.
Kabla ya tangazo hilo, Rais Samia alieleza baadhi ya mapungufu yanayoikabili mamlaka hiyo, baadhi yake yakiwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akihoji kwa nini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa.
Bodi ya TPA inaundwa na mwenyekiti wake Prof Ignas Rubaratuka na naibu wake ni Dk Delphine Magere. Wajumbe hao ni Malata Pascal, Dk Jabiri Bakari, Masanja Kadogosa, Jayne Nyimbo, Mhandisi Ephrem Kirenga na Eric Hamissi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Bandari.
Aidha, ameitaka PCCB kuchunguza bodi hizo kwa kile kinachoendelea bandarini na kuwachukulia hatua waliohusika na upotevu wa fedha uliotajwa katika ripoti hiyo.
"Mkurugenzi, PCCB nakuagiza uchukue hatua dhidi ya watu hawa haraka iwezekanavyo na kama hakuna taarifa nitakupa maelezo ya kilichotokea hapa," alisema Rais Samia.
Alisema mifumo ya malipo bandarini kwa muda mrefu imekuwa ikiendeshwa na watumishi jambo ambalo linaonesha kuwa mizigo imekuwa ikilipiwa langoni lakini kwa maana halisi si kweli inasababisha upotevu wa mapato kwa nchi.
Alitoa wito kwa shirika la kupambana na rushwa kuja na majibu ya kwa nini yote haya yanatokea bado bodi na wafanyakazi waliohusika bado wako ofisini.
Pia aligusia juu ya idhini ya zabuni bandia na Shirika la Usafirishaji, huku akijua kuwa vigezo sahihi havikufuatwa na bodi ilihusika katika idhini na serikali ilikuja tu kujua baada ya kutuma watu nchini Uturuki kuchunguza kampuni hiyo.
Alimtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kuchukua hatua za haraka na endapo atashindwa, anapaswa kumjulisha ili kuchukua hatua zinazohitajika ikiwa ni pamoja na kumteua waziri mpya.
Chanzo: Tanzania: President Samia Dissolves Tanzania Ports Authority, Shipping Corporation Boards
Ya sasa ndiyo hayo yanapigwa msasa, au ndiyo wale? Upo forodhani unauliza baharini wapi?Hakukuwa na madudu kama yaliyopo sasa. Alitumia hiyo kama justification ya kumuondoa Kakoko ili aweke timu yake. Na hiyo ilikuwa bad move yake ya kwanza kwa kudhani aliowakuta wote hawamfai
Wewe Bibi, hicho kichwa chako kimebaki kama kitundio cha hijabu. Hakina akili hata kidogo.Mlizowea utawala usiofata sheria eeh? Jisomee halafu kamuulize huyu:
"Mkurugenzi, PCCB nakuagiza uchukue hatua dhidi ya watu hawa haraka iwezekanavyo na kama hakuna taarifa nitakupa maelezo ya kilichotokea hapa," alisema Rais Samia.
"Pia aligusia juu ya idhini ya zabuni bandia na Shirika la Usafirishaji, huku akijua kuwa vigezo sahihi havikufuatwa na bodi ilihusika katika idhini na serikali ilikuja tu kujua baada ya kutuma watu nchini Uturuki kuchunguza kampuni hiyo".
Hicho kilichofanywa hapo juu ndicho hata sasa kimefanyika kwa DP World, hebu tujiulize Zabuni ya kukodisha Bandari yetu;
1. Ilitangazwa lini?

2. Kwenye chapisho gani la gazeti la Serikali?
masharti au vigezo vipi unavyoviongelea wewe? Mbona unafoka foka, tulizana, uliza vizuri tukuelimishe."Pia aligusia juu ya idhini ya zabuni bandia na Shirika la Usafirishaji, huku akijua kuwa vigezo sahihi havikufuatwa na bodi ilihusika katika idhini na serikali ilikuja tu kujua baada ya kutuma watu nchini Uturuki kuchunguza kampuni hiyo".
Hicho kilichofanywa hapo juu ndicho hata sasa kimefanyika kwa DP World, hebu tujiulize Zabuni ya kukodisha Bandari yetu;
3. Kwa masharti yapi au vigezo vipi?
Barua hiyo ya wito kutoka ofisi ya DCI inamtaka Dkt. Nshala kufika kwa ajili ya mahojiano
Ofisi hii inafanya uchunguzi kuhusiana na kauli ulizotoa tarehe 03 Julai 2023 na kisha kusambazwa katika vyombo vya habari na mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusiana na mkataba wa uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam
Ili tuwe kukamilisha uchunguzi wetu, ofisi hii inakutaka ufike ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2023 saa 09:00 asubuhi bila kukosa kwa ajili ya mahojiano.
Pia soma:
Rugemeleza Nshala: Tutafungua Kesi kupinga Mkataba wa DP World na Tanzania
Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World
Kuna ufisadi mkubwa ambao unazimwa kwa kuleta kampuni kubwa za nje kuendesha bandari.Swala la bandari linajulikana wazi viongozi waandamizi wanamakampuni yao ya uchukuzi na usafirishaji ziwemo bandari kavu. Kibaya zaidi hawataki kulipa kodi halali, watataka wapitishe mizigo bure huku makampuni ya makabwela yakiminywa kwenye kodi na ushuru ili zisiweze kushindana na makampuni ya viongozi waandamizi. Anachofanya rais ni kukata kichwa kwa kutibu shingo. Anachotakiwa kufanya akae na hawa vigogo waambie wasiwe wanakula bila kunawa. Tunataka wawekezaji lakini kwa mikataba yenye maslahi kwa taifa sio ya kutufanya watanzania wote hatuna akili kisa tumewapa dhamana ya kutuongoza. Hatuna shaka na DP WORLD ila tunashaka na mkataba unaoenda kutuingiza chaka kisa rais anataka kufungua nchi kwa wawekezaji.
Sisi tunasema hatukubali mzanzibari kuuza mali zetu kamweMiezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao.
Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba 0 hadi 7 katika bandari ya Dar es Salaam.
Kabla ya tangazo hilo, Rais Samia alieleza baadhi ya mapungufu yanayoikabili mamlaka hiyo, baadhi yake yakiwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akihoji kwa nini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa.
Bodi ya TPA inaundwa na mwenyekiti wake Prof Ignas Rubaratuka na naibu wake ni Dk Delphine Magere. Wajumbe hao ni Malata Pascal, Dk Jabiri Bakari, Masanja Kadogosa, Jayne Nyimbo, Mhandisi Ephrem Kirenga na Eric Hamissi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Bandari.
Aidha, ameitaka PCCB kuchunguza bodi hizo kwa kile kinachoendelea bandarini na kuwachukulia hatua waliohusika na upotevu wa fedha uliotajwa katika ripoti hiyo.
"Mkurugenzi, PCCB nakuagiza uchukue hatua dhidi ya watu hawa haraka iwezekanavyo na kama hakuna taarifa nitakupa maelezo ya kilichotokea hapa," alisema Rais Samia.
Alisema mifumo ya malipo bandarini kwa muda mrefu imekuwa ikiendeshwa na watumishi jambo ambalo linaonesha kuwa mizigo imekuwa ikilipiwa langoni lakini kwa maana halisi si kweli inasababisha upotevu wa mapato kwa nchi.
Alitoa wito kwa shirika la kupambana na rushwa kuja na majibu ya kwa nini yote haya yanatokea bado bodi na wafanyakazi waliohusika bado wako ofisini.
Pia aligusia juu ya idhini ya zabuni bandia na Shirika la Usafirishaji, huku akijua kuwa vigezo sahihi havikufuatwa na bodi ilihusika katika idhini na serikali ilikuja tu kujua baada ya kutuma watu nchini Uturuki kuchunguza kampuni hiyo.
Alimtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kuchukua hatua za haraka na endapo atashindwa, anapaswa kumjulisha ili kuchukua hatua zinazohitajika ikiwa ni pamoja na kumteua waziri mpya.
Chanzo: Tanzania: President Samia Dissolves Tanzania Ports Authority, Shipping Corporation Boards
Ungeandika hayo enzi zile Magufuli alipogundua madudu bandarini pamoja na kontena za michanga ya dhahabu, pamoja na changamoto hizo Magufuli hakuuza bandari zetu kwa washihiri wa Dubai.Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao.
Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba 0 hadi 7 katika bandari ya Dar es Salaam.
Kabla ya tangazo hilo, Rais Samia alieleza baadhi ya mapungufu yanayoikabili mamlaka hiyo, baadhi yake yakiwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akihoji kwa nini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa hadi sasa.
Bodi ya TPA inaundwa na mwenyekiti wake Prof Ignas Rubaratuka na naibu wake ni Dk Delphine Magere. Wajumbe hao ni Malata Pascal, Dk Jabiri Bakari, Masanja Kadogosa, Jayne Nyimbo, Mhandisi Ephrem Kirenga na Eric Hamissi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Bandari.
Aidha, ameitaka PCCB kuchunguza bodi hizo kwa kile kinachoendelea bandarini na kuwachukulia hatua waliohusika na upotevu wa fedha uliotajwa katika ripoti hiyo.
"Mkurugenzi, PCCB nakuagiza uchukue hatua dhidi ya watu hawa haraka iwezekanavyo na kama hakuna taarifa nitakupa maelezo ya kilichotokea hapa," alisema Rais Samia.
Alisema mifumo ya malipo bandarini kwa muda mrefu imekuwa ikiendeshwa na watumishi jambo ambalo linaonesha kuwa mizigo imekuwa ikilipiwa langoni lakini kwa maana halisi si kweli inasababisha upotevu wa mapato kwa nchi.
Alitoa wito kwa shirika la kupambana na rushwa kuja na majibu ya kwa nini yote haya yanatokea bado bodi na wafanyakazi waliohusika bado wako ofisini.
Pia aligusia juu ya idhini ya zabuni bandia na Shirika la Usafirishaji, huku akijua kuwa vigezo sahihi havikufuatwa na bodi ilihusika katika idhini na serikali ilikuja tu kujua baada ya kutuma watu nchini Uturuki kuchunguza kampuni hiyo.
Alimtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kuchukua hatua za haraka na endapo atashindwa, anapaswa kumjulisha ili kuchukua hatua zinazohitajika ikiwa ni pamoja na kumteua waziri mpya.
Chanzo: Tanzania: President Samia Dissolves Tanzania Ports Authority, Shipping Corporation Boards
Utakuwepo kwenye maandamnoi tarehe 22 au siyo?Ungeandika hayo enzi zile Magufuli alipogundua madudu bandarini pamoja na kontena za michanga ya dhahabu, pamoja na changamoto hizo Magufuli hakuuza bandari zetu kwa washihiri wa Dubai.