gwakipanga
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 794
- 638
WNACH
Kuna ufisadi mkubwa ambao unazimwa kwa kuleta kampuni kubwa za nje kuendesha bandari.
Wizi umezidi bandarini.
Kwanza hizi ICSID zote zijulikane zinafanyaje kazi na nani wapo nyuma yao
HIyo mijizi ni viongozi waandamizi wa chama kwanini asikae nayo kwenye vikao vya chama na kuiambia isiwe inakuwa bila kunawa.. uwezi kukata kichwa kwa kutibu shingo. Bandari kama kichwa alafu unataka kuondoa uozo bandarini kisha unaweka rehani bandari. Shida ni utendaji bandarini. Atengeneze au anunue mifumo ambayo nitafanya konteina zilipiwe mizigo ilipiwe bila simu kupigwa huo mzigo wa fulani uache upite.si ndio maana wanapiga kelele mpaka wameajiri wa kuwasaidia huku kwenye mitandao ya jamii. We unafikiri ni watanzania wa kawaida walipa kodi ndio wanaopiga kelele humu, kila siku wanaokoteza mauzushi. Ndio haohao wanaona sasa watanyanganywa tonge. Rais wangu akaze mwendo awapuuze hawa wezi na majambazi wa mapato ya nchi yetu. Sasa hivi wezi ndio wanajifanya wazalendo zaidi. Shughuli za bandari lazima zibinafsishwe ili tupate kuona matunda km nchi siyo watu wachache, wao waendelee kuhonga watashtukia pesa za kuhonga zimeisha na DP World ndani ya nyumba