Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?

Hiyo hailalalishi kubinafisha Bandari yetu kihuni!
 
Na DPW wakishindwa kazi wewe utafanyaje hiyo ID yako?
 



Nani kawakataza kusema? Madudu yaliyogunduliwa na CAG mbona yamesemwa na hakuna hatua mmechukua?
 
Tumshuri Rais aachane na uwekezaji huu maana wenyewe Hawataki,hizo inefficiency seems wameridhika nazo au laa terms zibadilishwe hasa zinazolalamikiwa.
 
Lete suluhu acha maneno wewe .
 
We bwana wee!! Halmashauri zote si zitakwisha??.
Jana kwenye kipindi cha DAKIKA 45 ITV, Mzee Joseph Butiku alizungumza vizuri sana. Yule Mzee umri umeenda lakini kichwani Yuko vizuri. Nafikiria alipokuwa Bado kijana alikuwaje sijui. Nchi hii inataka maamuzi magumu Wala si demokrasia. Demokrasia ni mfumo TU, mfumo huu ukishindwa kuiongoza nchi vema, inabidi maamuzi magumu yasaidie kuwarudisha watu kwenye mfumo uliobora wa kimaadili.
 
Hakuna madudu yanayozidi yale yaliyofanywa na Samia mwenyewe, kuwapa bandari zetu zote Tanganyika wajomba zake milele.
Wewe ni sawa sawa na mtu ambaye hajatoka nje ya kijiji chake na haamini kuwa kuna wilaya , mikoa na majiji. Jitahidi uwaze zaidi ya hapo ulipo
 
Kama kulikuwa na wizi bandarini tunataka kusikia hao wezi wapo jela tayari na sio kusikia porojo eti hodi ya bandari ilivunjwa.
Otherwise ni propaganda za kiwaki sana.
 
Shirika la meli nalisikia leo kwako pia na kampuni ya usafirishaji naisikia leo.
 
😳😳😌
Ati madudu gani tena hayo?
Yani kama hayasemwi ndio Bandari igawiwe tu?

Mpaka kieleweke kwa kweli...wanajaribu kupindisha haya, mara ilikuwa ndiyo Dira ya waliopita, mara Hayati ndie aliepitia na kuridhia haya makubaliano au utasikia kuna genge nyuma yake, mara ni madudu yasiyoelezewa! Hayasemwi ati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…