Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?

WNACH
Kuna ufisadi mkubwa ambao unazimwa kwa kuleta kampuni kubwa za nje kuendesha bandari.

Wizi umezidi bandarini.

Kwanza hizi ICSID zote zijulikane zinafanyaje kazi na nani wapo nyuma yao

HIyo mijizi ni viongozi waandamizi wa chama kwanini asikae nayo kwenye vikao vya chama na kuiambia isiwe inakuwa bila kunawa.. uwezi kukata kichwa kwa kutibu shingo. Bandari kama kichwa alafu unataka kuondoa uozo bandarini kisha unaweka rehani bandari. Shida ni utendaji bandarini. Atengeneze au anunue mifumo ambayo nitafanya konteina zilipiwe mizigo ilipiwe bila simu kupigwa huo mzigo wa fulani uache upite.
 
Wewe kama unayafamu yote hayo kwanini usiisaidie nchi yako?
 
Swwali zuri sana, hayo ndiyo yakuwauliza waliopewa amri ya kuchukuwa hatua.

Hii vita siyo ndogo lama mnavyodhania.
Acha kuspin. Kama ametoa amri halafu haijatekelzwa ..... Ina maana wamedharau!!?

Sasa yeye kafanya nini kama hawatekelezi amri zake....!!?
 
Kwani kazi ya kiongozi ni ipi? Mi nianze kumsifu kwakuwa kafanya wajibu wake? hatua gani alichukua baada ya kuibua madudu au ndo kaamua kuwapa DP?

NB: Jamiifor ni kigezo gani mnampa mtu platinum member?
 
Rais hatakiwi kuibua madudu bali hutakiwa kuwachukulia hatua wanaofanya madudu.

Kama Rais atakuwa muibuaji wa madudu, ni nani atatakiwa kuchukua hatua?
 

 
UMEKOSA BUSARA, MAGUFULI ALIWATEGEMEZA MKAKOSA KUFIKIRI WENYEWE

Isome post #1, ukiweza na links zake, halafu tueleze unaongelea nini kuhusu hilo? Ulita serikali iyaachie hayo madudu?
 
Kahongwa nini?? Ina maana angebaki Balozi angefunga mdomo wake sasa kama wakati wa Magufuli???

Jisikilizie clip hii chini, mbona wazi kabisa:

Your browser is not able to display this video.
 
Rostam yule mropokaji aliyeomba msamaha kwa kuropoka kwake au mwingine?!

Bibi tulia hili game bado sana.

Kamuomba msamaha nani? Au Slaa siku hizi kawa jaji?

Msikilize post ya juu hapo.
 
Rostam yule mropokaji aliyeomba msamaha kwa kuropoka kwake au mwingine?!

Bibi tulia hili game bado sana.


Subiri sanduku la kura 2025.

Wakati unasubiri, soma vizuri post #1 juu hapo.
 
Waliotakiwa kuchukua hatua ni serikali inayoongozwa na nani, na wanaotaka kuuza bandari yetu ni serikali inayoongozwa na nani?
 
Subiri sanduku la kura 2025.

Wakati unasubiri, soma vizuri post #1 juu hapo.
Not this time around,lady.Note this very carefully,hatujawahi kupaza sauti zetu this much.Hata mpira una elastic limit,we are there already.Ukisikia vijana wanasema tutafutiwe silaha twenda porini we are ready,you know something is seriously wrong.Listen to this.You believe this is business as usual?Not at all.

 
Waliotakiwa kuchukua hatua ni serikali inayoongozwa na nani, na wanaotaka kuuza bandari yetu ni serikali inayoongozwa na nani?
Kwani serikali inaongowa na nani?

Unafikiri bandari ni chapati ile hata iuzwe?
 
Not this time around,lady.Not this very carefully,hatujawahi kupaza sauti zetu this much.Hata mpira una elastic limit,we are there already.Ukisikia vijana wanasema tutafutiwe silaha twenda porini we are ready,you know something is seriously wrong.
Sasa hivi si mnadanganywa na hao walioporwa na tonge la wizi mdomoni.

Umeisoma post #1?
 
Kumbe nikikaa hapa nitapata abcd....... ongezea nyama kidogo mkuu
 
Mimi ushauri wangu huu uwekezaji usiishie kwenye bandari, kila ikisomwa ripoti ya CAG Ofisi yoyote itakayokutwa na mapungufu apewe mwekezaji[emoji205]
Wizara zote apewe muwekezaji naamini tutapiga hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…