Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?

Sasa hivi si mnadanganywa na hao walioporwa na tonge la wizi mdomoni.

Umeisoma post #1?
Faiza Fox,tunadanganywa vipi,acha ujinga,kwani sisi hatuwezi kusoma mkataba!I never believed you are such a stupid lady.Wewe most likely ni Mnzazibari ambao ndio mnaouza mali za Watanganyika,Binti Mangungo,Mbarawa na Masauni.This is a Zanzibari conspiracy against Tanganyikans and we won't let it go.
 
Tena ilitangazwa hata mimi nimeiona mtandaoni na zikajitokeza kampuni tatu, DP World, Adani na AD World au AD Ports.

Na mpaka sasa hakuna hata moja kati ya hizo iliyopewa kazi ya kuendesha bandari.


lakini kiukweli, hizo mbili zinajijuwa hazifui dafu kwa DP World. Niulize kwanini?
 
Hapana mimi si Mzanzibari lakini kutokuwa Mzanzibari hakunipi fursa ya kuwatenga au kuwabaguwa Wazanzibari.

Bofya chini hapa kuna huo "mkataba" unielee tatizo lake nini. Usisikie porojo za awakili waliolipwa kutetea ujinga.

 
Wagalatia ndio chanzo cha kelele, Rais hasiwasikilize hao maaskoffu majizi, apige kazi,hao wezi wa hela za escrow
 
Bibi kwani Kuna anayepinga Samia kuibua madudu?
Watu wamapinga vipengele katika mkataba WA hovyo kuuza urithi wetu kwa mwarabu
Mkataba ubadlishwe Uwe clear hakuna shida
 
Nimeusoma sana huo mkataba,naujua Mwanzo mwisho jinsi ulivyo wa hovyo.Kama wewe huoni ubaya wake ni kihiyo,full stop.Hivi niamini kwamba hujaona kwamba huo mkataba hauna time limit,such a simple thing to see!Narudia wewe ni kihiyo,sina haja ya ku-argue na wewe.
 
Time limit ya nini?
 
Ndio wameamua kuwa makuwadi kwa kutumia taaluma zao!
Ni aibu na laana kuu kwao na uzao wao! Unauza utu wako na kufanya dhuluma kuu kwa wananchi wenzako KISA tu umepewa RUSHWA! laana kubwa sana hii.

Si umeyaona madudu hayo post #1, hawafai kabisa hawa watu.
 
Mama hakubaliki nanhajui kuongoza wa kuchukua hatua ,nchi hii haitaki mtu wa aina hiyo

Hilo wala halitushangazi, kwa madudu na wizzi alioiuwa bandarini na shirika la meli mpaka akavunja bodi. Unafikiri tutegemee vigogo wote wa bodi ambao ni waomba na shangazi mtamkubali tena hapo?


Pia mama amegunduwa, wachina na wafanya biashara wwengi wlikuwa wanalitumia kanisa kupitisha mizigo ya kimagumashi. Tutegemee watu wa kanisani mumkubali? Maawee.

Tazama post namba 1 juu hapo.
 
Kitenge huyuhuyu ndiye alikuwa anaponda ufanisi mbovu wa bandari, leo anasema wamepata tuzo. Sisiemu waache u ndumilakuwili

Soma vizuri post #1 utaelewa kwanini sasa PTA imeanza kuleta kifaida kiduchu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…