Maduka ya Dawa za binadamu yanapogeuka kuwa zahanati kwa kuendesha matibabu

Maduka ya Dawa za binadamu yanapogeuka kuwa zahanati kwa kuendesha matibabu

Wewe unaishi nchi ipi? Kijijini tunakua na nesi moja wa cheti anafanya kazi zote, ndo mfamasia, dakitali bingwa nda anae zalisha, nda anae kuelekeza dawa, na maisha ya naenda tena sio kila siku upo . Kumkuta ni bahati kwa wiki anakuepo siku tatu tu, hi nchi bado sanaaaa
Na hapo unakuta anahudumia vijiji vitatu
 
Kama wanaokoa maisha ya watu hakuna tatzo hilo ndo lengo
Maana baadhi ya hospital za serekali wat wanakufa kwa kukosa matibabu
 
Wengi wanaofanya hizo huduma hawana taaluma yoyote
Umewakagua au umehadithiwa ukakimbilia huku?....
Vijana wanasaka riziki mkuu waoneeni huruma. Kila kukicha ni mashtaka kwa mamlaka against vijana why....
Utasikia....
1.bodaboda wachafu sipandi...
2.machinga ni uchafu waondolewe.
3. Wabeba mizigo ni vibaka.
4.vijana wajiajiri.
Why all these?
Tuvumiliane please. Tanzania ni yetu site.
 
Back
Top Bottom