Wewe unaishi nchi ipi? Kijijini tunakua na nesi moja wa cheti anafanya kazi zote, ndo mfamasia, dakitali bingwa nda anae zalisha, nda anae kuelekeza dawa, na maisha ya naenda tena sio kila siku upo . Kumkuta ni bahati kwa wiki anakuepo siku tatu tu, hi nchi bado sanaaaa