Ipo siku TU
Member
- Nov 26, 2025
- 38
- 92
Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi
Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
Baada ya kushindwa kuandamana kama ambavyo mlikuwa kutwa mkidanganywa na Dada zenu Wawili Idiots sasa mmeamua kujikita zaidi katika kuleta Taarifa za Uzushi ili mradi tu mlete Taharuki katika Jamii kisha baadae mjisifu. Hakuna cha Internet kuzimwa Saa 7 Kamili mchana wala nini na Watu wapo Gado na Zana zote wakiwasubirini muingie katika 18 zao wamalize tena Shughuli ili mkimbilie CCN kwa yule Mnafiki mwenzenu.Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi
Muwe na wakti mwema mpaka jumatatu ya tarehe 15
Wapi huko? Mwanza teyari tumeona na clipWekeni ITV maandamano makubwa
Kumbe wanaichoma🫢Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Arusha na mbeyaWapi huko? Mwanza teyari tumeona na clip
Nafurahi sana kuona bado team wazalendo na Amani mpo kamili gadoBaada ya kushindwa kuandamana kama ambavyo mlikuwa kutwa mkidanganywa na Dada zenu Wawili Idiots sasa mmeamua kujikita zaidi katika kuleta Taarifa za Uzushi ili mradi tu mlete Taharuki katika Jamii kisha baadae mjisifu. Hakuna cha Internet kuzimwa Saa 7 Kamili mchana wala nini na Watu wapo Gado na Zana zote wakiwasubirini muingie katika 18 zao wamalize tena Shughuli ili mkimbilie CCN kwa yule Mnafiki mwenzenu.
ITV watafungiwaArusha na mbeya
Raia wa kawaida hatuna hasara,sema wale wanaotegemea mitandao kufanya kazi kama bandarini na wengine wajiandae kupoteza mapato.Huku kwetu maji hayatoki sijui kama nayo yanategemea mtandaoInternet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi
Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
😃😀Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako