PostGE2025 Maelekezo kutoka juu, internet inazimwa saa saba kamili mchana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Baada ya kushindwa kuandamana kama ambavyo mlikuwa kutwa mkidanganywa na Dada zenu Wawili Idiots sasa mmeamua kujikita zaidi katika kuleta Taarifa za Uzushi ili mradi tu mlete Taharuki katika Jamii kisha baadae mjisifu. Hakuna cha Internet kuzimwa Saa 7 Kamili mchana wala nini na Watu wapo Gado na Zana zote wakiwasubirini muingie katika 18 zao wamalize tena Shughuli ili mkimbilie CCN kwa yule Mnafiki mwenzenu.
Haya mambo yanatuhusu sisi watanzania. Wewe mnyarwanda tulizana. Tunadai haki zetu, utekaji ukomeshwe, demokrasia itamalaki. Nilitarajia uwe muungaji mkono wa watu kudai demokrasia na haki, ukijua wewe na wazazi wako mlikuwa wahanga wa unyanyasaji uliokuwa ukifanywa na serikali ya Habyarimana. Yaliyotokea Rwanda 1994, ni zao la ubaguzi, ukosefu wa haki na ukandamizaji wa raia Kwa misingi ya ethnicity, huku kwetu imekuwa ni Kwa misingi ya kivyama. So watch out, acha shobo.
 
Ila kusema ukweli genz kwwnye mo29 iliwala cha nyuma serikali ndo maana wana machungu na ndo hivyo bkira ishatoka itabaki kwenye kumbukumbu milele yote,, wiki ya 3 leo maji hakuna,,, chura nyoko kabisa lile maza
 
🤣🤣🤣
 
Tuendeleze maombi Mungu amchukue mtu wake
 
Kama namuona jamaa aliyeshikilia switch ya kuzima internet, akisinzia tu, akapishana na maelekezo ya kuzima internet, basi kazi hana.
 
Haya mambo yanatuhusu sisi watanzania. Wewe mnyarwanda tulizana. Tunadai haki zetu, utekaji ukomeshwe, demokrasia itamalaki. Nilitarajia uwe muungaji mkono wa watu kudai demokrasia na haki, ukijua wewe na wazazi wako mlikuwa wahanga wa unyanyasaji uliokuwa ukifanywa na serikali ya Habyarimana. Yaliyotokea Rwanda 1994, ni zao la ubaguzi, ukosefu wa haki na ukandamizaji wa raia Kwa misingi ya ethnicity, huku kwetu imekuwa ni Kwa misingi ya kivyama. So watch out, acha shobo.
Huyo sio mnyarwanda ni mpuuzi tu anayejinasibisha na watutsi kwa watutsi hakunaga mapooza
 
Back
Top Bottom