maandamano sio vurugu , kataa wapotoshajMwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Walituma watu wao kuchoma vitu ili wapate uhalali wa kuua watu
maandamano sio vurugu , kataa wapotoshajMwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Na dk 1Bado dakika 1
Mwanza ya Uganda?Wapi huko? Mwanza teyari tumeona na clip
Sasa hivi ni saa 7.03 hakuna kitu,labda saa 7 ya usikuInternet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi
Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
Network ipoMliopo Tanzania ikifika saa saba mtatuthibitishia
Katiba ipi linafuata hilo jizi?Soma katiba mbulukenge wewe
Wi-fi signal yangu bado iko strong, internet bado ipo.Hamna kitu uyo mtu yuko Maswa anapata wapi info kama hizi.
😄😄 Maandamano hakuna, uchaguzi umepita, balozi wa marekani kamfuata rais Dodoma kuyajenga, endelea kunywa bananaKatiba ipi linafuata hilo jizi?
Ulikuwa ni uchaguzi wa US? Au balozi wa US ndio aliongoza maandano ya 29?😄😄 Maandamano hakuna, uchaguzi umepita, balozi wa marekani kamfuata rais Dodoma kuyajenga, endelea kunywa banana
chai ya maziwa.Chai
SawaNetwork ipo
13:02 PM