Fungu la kumi nitoe wapi, intercessor na sadaka ya shukraniKwishaa ht usipoteze nguvu zako
Tunahamia kwa makamo then huyo kiranja wa mawaziri hakuna atakaekaa kwenye hivyo viti
Mmeamua kujikita kwenye uongo: Du, CHADEMA mmeishiwa PUMZI. Wafunge internet kwa ajili gani wakati miji yote TZ imetulia. Hakuna cha mbu wala kiroboto anayeonekana barabarani.Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi
Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
HahahFungu la kumi nitoe wapi, intercessor na sadaka ya shukrani
Mie nitakuongezea ya mbuzi mwingineHahah
We tulia kabisa mi naendeleq kutafuta hela ya mbuzi
HallelujahMie nitakuongezea ya mbuzi mwingine
Hivi kweli unafurahia hilo..kesho wakitoka maana ni maandamano yasiyo na ukomo...it means polisi wasitoe barrier walizoweka leo wakitoa kesho ili watu waende kazini hapohapo GenZ wanaunga, wasipotoa kuanzia tutaendelea kwenye lockdown...ni mpuuzi tu ndo anayeweza ona huu ni ushindi wa serikali ila kiufupi ni mtego mkali sana.Baada ya kushindwa kuandamana kama ambavyo mlikuwa kutwa mkidanganywa na Dada zenu Wawili Idiots sasa mmeamua kujikita zaidi katika kuleta Taarifa za Uzushi ili mradi tu mlete Taharuki katika Jamii kisha baadae mjisifu. Hakuna cha Internet kuzimwa Saa 7 Kamili mchana wala nini na Watu wapo Gado na Zana zote wakiwasubirini muingie katika 18 zao wamalize tena Shughuli ili mkimbilie CCN kwa yule Mnafiki mwenzenu.
Saa 2:34 sasaMliopo Tanzania ikifika saa saba mtatuthibitishia
Hilo ni jukumu la mwananchi na serikali kwa pamoja.Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Acha niandae kabisa full jeans na timberland langu la kibabe .. la kwenda kupanda juu ya meza na maji yangu kubwaaaHallelujah
Tusubiri tangazo rasmi
Kama huna reliable source acha kutoa taarifa FAKE za kuleta taharuki bila sababu...Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi
Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
saa hivi ni saa 10 na bado tuko online!! Wakati mwingine muwe mnachanganya na zenu!Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi
Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15