PostGE2025 Maelekezo kutoka juu, internet inazimwa saa saba kamili mchana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi

Muwe na wakti mwema mpaka jumatatu ya tarehe 15
Baada ya kushindwa kuandamana kama ambavyo mlikuwa kutwa mkidanganywa na Dada zenu Wawili Idiots sasa mmeamua kujikita zaidi katika kuleta Taarifa za Uzushi ili mradi tu mlete Taharuki katika Jamii kisha baadae mjisifu. Hakuna cha Internet kuzimwa Saa 7 Kamili mchana wala nini na Watu wapo Gado na Zana zote wakiwasubirini muingie katika 18 zao wamalize tena Shughuli ili mkimbilie CCN kwa yule Mnafiki mwenzenu.
 
Nafurahi sana kuona bado team wazalendo na Amani mpo kamili gado
 
Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi

Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
Raia wa kawaida hatuna hasara,sema wale wanaotegemea mitandao kufanya kazi kama bandarini na wengine wajiandae kupoteza mapato.Huku kwetu maji hayatoki sijui kama nayo yanategemea mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…