Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,341
- 3,367
Haya mambo yanatuhusu sisi watanzania. Wewe mnyarwanda tulizana. Tunadai haki zetu, utekaji ukomeshwe, demokrasia itamalaki. Nilitarajia uwe muungaji mkono wa watu kudai demokrasia na haki, ukijua wewe na wazazi wako mlikuwa wahanga wa unyanyasaji uliokuwa ukifanywa na serikali ya Habyarimana. Yaliyotokea Rwanda 1994, ni zao la ubaguzi, ukosefu wa haki na ukandamizaji wa raia Kwa misingi ya ethnicity, huku kwetu imekuwa ni Kwa misingi ya kivyama. So watch out, acha shobo.Baada ya kushindwa kuandamana kama ambavyo mlikuwa kutwa mkidanganywa na Dada zenu Wawili Idiots sasa mmeamua kujikita zaidi katika kuleta Taarifa za Uzushi ili mradi tu mlete Taharuki katika Jamii kisha baadae mjisifu. Hakuna cha Internet kuzimwa Saa 7 Kamili mchana wala nini na Watu wapo Gado na Zana zote wakiwasubirini muingie katika 18 zao wamalize tena Shughuli ili mkimbilie CCN kwa yule Mnafiki mwenzenu.
TajiriSaa saba ya usiku.?
Au sio!?Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi
Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
🤣🤣🤣Ila kusema ukweli genz kwwnye mo29 iliwala cha nyuma serikali ndo maana wana machungu na ndo hivyo bkira ishatoka itabaki kwenye kumbukumbu milele yote,, wiki ya 3 leo maji hakuna,,, chura nyoko kabisa lile maza
Tuendeleze maombi Mungu amchukue mtu wakeIla kusema ukweli genz kwwnye mo29 iliwala cha nyuma serikali ndo maana wana machungu na ndo hivyo bkira ishatoka itabaki kwenye kumbukumbu milele yote,, wiki ya 3 leo maji hakuna,,, chura nyoko kabisa lile maza
Hakuna loloteInternet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi
Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
Saa 7:43 hii hakuna jipyaNa dk 1
Imbwa kabisa ile mama yake alituzalia uozoTuendeleze maombi Mungu amchukue mtu wake
Kwishaa ht usipoteze nguvu zakoTuendeleze maombi Mungu amchukue mtu wake
KumbePole sana!!!
Waandamanaji wenyewe mnashinda mtandaoni, mkizimiwa mtandao si ndio itakuwa vizuri!?
Huyo sio mnyarwanda ni mpuuzi tu anayejinasibisha na watutsi kwa watutsi hakunaga mapoozaHaya mambo yanatuhusu sisi watanzania. Wewe mnyarwanda tulizana. Tunadai haki zetu, utekaji ukomeshwe, demokrasia itamalaki. Nilitarajia uwe muungaji mkono wa watu kudai demokrasia na haki, ukijua wewe na wazazi wako mlikuwa wahanga wa unyanyasaji uliokuwa ukifanywa na serikali ya Habyarimana. Yaliyotokea Rwanda 1994, ni zao la ubaguzi, ukosefu wa haki na ukandamizaji wa raia Kwa misingi ya ethnicity, huku kwetu imekuwa ni Kwa misingi ya kivyama. So watch out, acha shobo.
Ndio hivyo!Kumbe