PostGE2025 Maelekezo kutoka juu, internet inazimwa saa saba kamili mchana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Waandamanaji wanavizia kuwe na movement za watu! Tunaweza kujikuta tunafungiwa ndani week yote hii tena. Kweli hakuna namna ya kutuliza hili joto? Nguvu pekee bila busara haitoshinda.
 
Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi

Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
Mmeamua kujikita kwenye uongo: Du, CHADEMA mmeishiwa PUMZI. Wafunge internet kwa ajili gani wakati miji yote TZ imetulia. Hakuna cha mbu wala kiroboto anayeonekana barabarani.
Nawashukuru vijana wote mliolielewa somo na kuwapuuzia wale wazee na yule dada wa nje na propaganda zake za ANDAMANENI. Asanteni sana, mmeonyesha uzalando wa juu sana. Nchi kwanza.
JALI MAISHA YAKO, ndio ujumbe wa leo.
 
Hivi kweli unafurahia hilo..kesho wakitoka maana ni maandamano yasiyo na ukomo...it means polisi wasitoe barrier walizoweka leo wakitoa kesho ili watu waende kazini hapohapo GenZ wanaunga, wasipotoa kuanzia tutaendelea kwenye lockdown...ni mpuuzi tu ndo anayeweza ona huu ni ushindi wa serikali ila kiufupi ni mtego mkali sana.
 
KESHO KAZINI 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
 
Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi

Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
Kama huna reliable source acha kutoa taarifa FAKE za kuleta taharuki bila sababu...
Nijuavyo Internet itazimwa tu kama WAPUMBAVU wata anza kupost picha zao FAKE za kuonesha maandamano.....ambayo hayapo.....
 
Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi

Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
saa hivi ni saa 10 na bado tuko online!! Wakati mwingine muwe mnachanganya na zenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…