Maelezo ya Isihaka Mchinjita na Tundu Lissu, yanaashiria CCM ina magenge ya kihalifu. Je, vyombo vya dola vitathubutu kuyakabili?

Vyombo vya Dola gani, Kata majeshi ya POLISI mahiri duniani Jeshi letu la POLISI lipo top ten. Ndiyo maana huoni nchi zozote kubwa duniani zikijaribu kulitilia mashaka Jeshi letu. Hakuna chochote kisicho julikana kwenye nchi hii, hata hayo mataifa makubwa pamoja nna interpol huwa wanakuja kuomba msaada wa wataalamu wetu wawasaidie kwenye baadhi ya kesi ngumu kwahiyo siyo Jeshi la kuelekezwa na mtu yoyote yule duniani ni Jeshi linalo jitambua,, na haya yanayotokea nchini mwetu si mageni kwenye Serikali za kiafrika, Kenya yanatokea, uganda yanatokea, Rwanda yanatokea, Burundi yanatokea, Nigeria na kwingineko kwingi.
Weledi hauna shida inazungumziwa magenge ya uharifu katika jeshi maana yake ni sawa na vikundi vya majambazi sababu aviheshimu sheria na taratibu
 
Vyombo vya Dola gani, Kata majeshi ya POLISI mahiri duniani Jeshi letu la POLISI lipo top ten. Ndiyo maana huoni nchi zozote kubwa duniani zikijaribu kulitilia mashaka Jeshi letu. Hakuna chochote kisicho julikana kwenye nchi hii, hata hayo mataifa makubwa pamoja nna interpol huwa wanakuja kuomba msaada wa wataalamu wetu wawasaidie kwenye baadhi ya kesi ngumu kwahiyo siyo Jeshi la kuelekezwa na mtu yoyote yule duniani ni Jeshi linalo jitambua,, na haya yanayotokea nchini mwetu si mageni kwenye Serikali za kiafrika, Kenya yanatokea, uganda yanatokea, Rwanda yanatokea, Burundi yanatokea, Nigeria na kwingineko kwingi.
Siku aktekwa mama yako na kuuwawa unyamaze kmy
 
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Mbaya sana hii ila Zito alionya kwamba kuendelea kuwasigeza vyombo kwenye siasa ni hatari Kwa wote
 
Ni kawaida sana vyama au utawala ukikaa madarakani muda mrefu na kupoteza ushawishi, huandaa vikundi vya kihalifu ili kutisha wananchi ili kukiogopa. Vikundi hivi huteka wapinzani, kuwaacha na vilema vya kudumu, ama hata kuwaua. Walipofikia ccm ni lazima wawe na vikundi hivi.
Zanzibar washavizoea hv mlikua wapi janjaweed vinaanza kipnd cha amani ni vilikua vinatoka mailand tz
 
..kwa kweli nilisikia hayo magenge yakifanya vurugu Znz lakini nilidhani yanahusisha Wazanzibari wenyewe.

..hakuna siku niliwaza kwamba genge la Janjaweed wahusika wake walitoka huku Tanganyika.

..nilichokuwa nakifahamu ni kwamba Polisi wa Kitanganyika hupelekwa Zanzibar wakati wa uchaguzi mkuu.
 
Kwa Sasa tupo kwenye state capture. Mahakama, bunge, jeshi , serikali na chama Cha mapinduzi vimeungana kuruhusu udhalimu.
Wanatawaliwa kijeshi kwa mwavuli wa kakikundi kadogo kasiasa kasiko na ridhasa halisi ya wananchi ndiyo maana huwezi kusikia mwana siasa wa chama tawala au kiongozi wa chama tawala yoyote akijibu hoja za kisiasa ila utasikia POLISI ndiyo kutwa wana kimbizana na wanasiasa au waziri au Raisi mwenyewe. Mfumo wakisiasa umetekwa na kugubikwa nakoti la kidola ili watawala waendelee kubaki madarakani kimabavu na ukionekana unahatarisha maslai yao wanakushughurikia kinyume na mifumo ya kisheria wanakukamata wanakupiga wanakutesa ukibahatika kupona shukuru Mungu la sivyo utapelekwa Porini ukaliwe na Mafisi, yaani binadamu anaenda kumlisha fisi binadamu mwenzake hata huyo fisi pamoja naunyama wake wote hawezi kuona fisi mwenzake ananyanyaswa asimsaidie ila haya yanatoke katika bara la Actactic katika jamuhuri ya ukenge nilisoma katika liwaya moja wakati nikiwa mdogo.
 
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Naamini si CCM wote wanaowajua magenge hayo. Hata Polisi si wote wanaojua magenge hayo. Hii nathani ni STATE CAPTURE ya watu wachache wanaotumiwa na mamlaka za juu za nchi. Je hii haitahatarisha amani ya nchi mbaleni?
 
..nilianzisha mada kuhusu suala hili lakini moderator wakaifuta.

..kuna mpasuko Ccm, Polisi, mahakama, na vyombo vingine, kuhusu suala la utekaji, na mauaji.
 
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
😳 🙄 😵‍💫
 
Hii ndiyo point. Mengine yote ni porojo.

..kuna wakati serikali huzidiwa maarifa na magenge ya uhalifu na nguvu ya ziada hulazimika kutumika kuyakabili. hali kama hiyo hutokea ikiwa makundi hayo ya kihalifu yamejipenyeza ndani ya serikali na kufanya hujuma.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu. Sio kwa serikali ya Tanzania. Labda kama unaongelea habari ya nchi nyingine.

Kwanza hiyo dhana ya "magenge ya kihalifu kujipenyeza serikalini" itafakari zaidi. Haiko sawa. Kumbuka hii ni dunia ya tatu; almost a banana republic.
 
..Polisi / serikalini kuna ma-agent / mawakala wanaoshirikiana na wahalifu.

..hukusikia Sativa akisimulia kwamba alihifadhiwa katika vituo vya polisi kabla ya kwenda kuteswa, na baadae kupigwa risasi?

..watu wamepewa dhamana Polisi na katika vyombo vingine, lakini wamejigeuza na kuanza kutumika katika kuwezesha na kufanya uhalifu.
 
wAAYu9E.jpg
 
Imani nalo hawana ila bado linamsaada
Polisi hawana msaada hata sahivi ukienda kutafuta msaada polisi cha kwanza wanaangalia hiyo kesi inamaslai ya fedha kwao kama haina wanaitupilia mbali mara utaambiwa gari la kwenda mpaka eneo la tukio halina mafuta hakuna jeshi la hovyo kama la Tanzania
 
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.
 
Back
Top Bottom