Vyombo vya Dola gani, Kata majeshi ya POLISI mahiri duniani Jeshi letu la POLISI lipo top ten. Ndiyo maana huoni nchi zozote kubwa duniani zikijaribu kulitilia mashaka Jeshi letu. Hakuna chochote kisicho julikana kwenye nchi hii, hata hayo mataifa makubwa pamoja nna interpol huwa wanakuja kuomba msaada wa wataalamu wetu wawasaidie kwenye baadhi ya kesi ngumu kwahiyo siyo Jeshi la kuelekezwa na mtu yoyote yule duniani ni Jeshi linalo jitambua,, na haya yanayotokea nchini mwetu si mageni kwenye Serikali za kiafrika, Kenya yanatokea, uganda yanatokea, Rwanda yanatokea, Burundi yanatokea, Nigeria na kwingineko kwingi.