Teknolojia inaenda mbele, tusibaki nyuma wadau. Epuka kulipa gharama kubwa,Tumia Uber, ni rahisi,nafuu na salama.
Mhe salama ? Hoja yangu ni kuhusu uwekezaji uber kwa maana wamiliki wa magari kwa kutumia soko la uber.
Ni wazi kwamba hivi karibuni magari mengi sana yanasajiliwa hapo kwenu mengi zaidi yakiwa mapya kabisa yaliyonunuliwa specific kwa ajili hiyo tu.
Na ili kutumia vizuri rasilimali za wadau wenu (wawekezaji/wamiliki na maderva) (wengi wetu wanakopa BANK )na kuleta
TIJA kwa wadau woote na kwa muda woote.
SWALI :
1. Je haitatokea siku service supply ikazidi customer demand ? hatimae
HASARA kwa wawekejazi ? na hatimaye nyie
2.Ni mikakati gani mlionalo ili wakati woote kuweza
ku-balance soko ? najua kuna matangazo
3.
Statistics zenu zinaonyeshaje mwelekeo wa soko lenu in near future 1 to 2 yrs ahead ?
4. Vipi kwa kujilinganisha na wenzetu wa miji mingine ya africa iliyotutangulia kama Nairobi, Harare, S. Africa ili kujua sisi tunaelekea wapi ?
Natanguliza shukran na nitafurahi sana kama ajibu yataambatana na
DATA za kuthibitisha ili kuleta imani na kuwekeza kwa nguvu kubwa zaidi.