Juzi dereva wa ubber kanifanyia uhuni sana , kaanza kuhesabu trip yangu kuanzia alipotokea na sio aliponichukua mm nafika mwisho wa safari.mi najua ni sh elfu 14 kumbe yy ananionesha ni sh elfu 22...aliniboa sana sasa sijui ni hajui au ndio kuibiana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu madereva wa aina hiyo sio wa kufumbia macho kabisa. Nenda kwenye app kwenye "My trips" tafuta ile trip uReport. Ndani ya masaa 48 utapatiwa ufumbuzi ikiwemo kurudishiwa hela uliyolipishwa zaidiJuzi dereva wa ubber kanifanyia uhuni sana , kaanza kuhesabu trip yangu kuanzia alipotokea na sio aliponichukua mm nafika mwisho wa safari.mi najua ni sh elfu 14 kumbe yy ananionesha ni sh elfu 22...aliniboa sana sasa sijui ni hajui au ndio kuibiana
Wapo baadhi ya madereva wanakubali kuwalipa kwa tigopesa au mpesa, ila kwa sasa njia zinazotambulika kwenye app ni Cash na Card ya Bank.Kwahiyo dereva akikubali ukamlipa kwa tigopesa au mpesa, itahesabika umemlipa cashJe hauwezi kulipa kwa tigo pesa au mpesa
kilugha tunaita etii vaiiiHata mimi nilisikia hivyo lakini sina uhakika, si unajua wabongo kwa kuongeza chumvi
Usafiri wa boda hauwezi kufa leo au kesho uber haiwezi kwenda huko machakani tunakoishi, huko ni kwa ajili ya bodaboda tu.Uber is killing the ordinary taxi business, probably in a few years it gonna kill even bodaboda and bajaj business.....it's huge business for those knows how to grab New opportunities.