Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Juzi dereva wa ubber kanifanyia uhuni sana , kaanza kuhesabu trip yangu kuanzia alipotokea na sio aliponichukua mm nafika mwisho wa safari.mi najua ni sh elfu 14 kumbe yy ananionesha ni sh elfu 22...aliniboa sana sasa sijui ni hajui au ndio kuibiana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Juzi dereva wa ubber kanifanyia uhuni sana , kaanza kuhesabu trip yangu kuanzia alipotokea na sio aliponichukua mm nafika mwisho wa safari.mi najua ni sh elfu 14 kumbe yy ananionesha ni sh elfu 22...aliniboa sana sasa sijui ni hajui au ndio kuibiana
Mkuu madereva wa aina hiyo sio wa kufumbia macho kabisa. Nenda kwenye app kwenye "My trips" tafuta ile trip uReport. Ndani ya masaa 48 utapatiwa ufumbuzi ikiwemo kurudishiwa hela uliyolipishwa zaidi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sasa ni rahisi kabisa kupata usafiri. Pakua app ya Uber , ingiza promocode ya TZABA065 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chni ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Je hauwezi kulipa kwa tigo pesa au mpesa
Wapo baadhi ya madereva wanakubali kuwalipa kwa tigopesa au mpesa, ila kwa sasa njia zinazotambulika kwenye app ni Cash na Card ya Bank.Kwahiyo dereva akikubali ukamlipa kwa tigopesa au mpesa, itahesabika umemlipa cash
 
Uber wapuuzi Sana. Kuna siku niliita Uber inipeleke sehemu na Bei yake ilikuwa 15k na nikakonfirm ikaja! Tukaanza Safari, kufika jamaa dereva ananiambia wait niangalie tena. Kuja kuangalia ananiambia ni 20k kwa vile kulikuwa na foleni Sana.

Nilibishana Sana na jamaa ila mwisho wa siku nikaona mabishano sio ishu nikampa tu! Usafiri wa kipuuzi sitaki Mimi
 
Habari wanajukwaa ningependa kufahamu kwa undani kuhusu biashara ya uber kwa mtu mwenye free time nimepata sikia eti dereva wa uber anaweza kulaza hadi 100,000/= kwa siku hivi ni kweli?

Then ikiwa mimi ndo dereva ila sio mmiliki wa gari inatanilipa kweli maana wengi wanasema uber inalipa ukiwa na gari lako naomba ufafanuzi zaidi kwa wenye uzoefu na shughuli hii.
 
Kama una gari lako halafu ukalitia Uber basi baada ya miaka 2 huwezi kuliuza tena maana litakuwa limetembea kilomita nyingi sana huku wewe mfukoni huna kitu labda liwe lako au upandishe hesabu kwa dereva.
 
kama ni kweli inalipa sana ingawa ni ngumu kuamini kwa siku kulaza kiasi hicho walau ungesema kiasi hicho ni kwa wiki pia ofisi zao zipo wapi
 
Uber business is just a myth almost yote unayosikia kuhusu uber na hasa hapa kwetu bongo ni uongo mtupu Uber ya kweli nibya hukòoo mbele hapa kwetu uber ni kama tax zingine za kawaida ila wanafanya biashara online kwa kutumia simu na hawana usajili kama wa taxi na kulipa kodi. Kifupi uber ni wezi wa kodi zetu.

Just imagine upo au unaishi kimara mtu anakuita kimara anakuambia nipeleke kigamboni ukifika kigamboni unazuga kusubiria trip unaitwa unaambiwa nipeleke mbagala chamazi siku ikiisha wewe ni tac drivwr tuu.

Kwa wenzetu uber unaita ikiwa inaenda njia moja na unayoenda wewe kazini kwako so badala ya kutoka masaki peke yako unaenda posta ofcn kwako utachukua abiria wanaoenda posta kama wewe na sio mtu anakuita uber umpeleke bagamoyo

Logic behind uber was to share a ride to the same deatination as the car owner at a peanut contribution here at tz people wanna make it an employment while in developed countries its just an additional to invome or cost sharing in transport.
 
Uber is killing the ordinary taxi business, probably in a few years it gonna kill even bodaboda and bajaj business.....it's huge business for those knows how to grab New opportunities.
Usafiri wa boda hauwezi kufa leo au kesho uber haiwezi kwenda huko machakani tunakoishi, huko ni kwa ajili ya bodaboda tu.

Labda maeneo ya katikati ya jiji na pembezoni kidogo.
 
Back
Top Bottom