Maelezo ya Wenje yamenyooka zaidi kuliko tuhuma za Lissu! Huenda Mbowe bado ni mtu sahihi zaidi kuongoza CHADEMA

Acha hii mbuzi Wenje, ilibaki kidogo auze Kura zetu za ubunge wa Nyamagana kwa Masha
Bahati aliyonayo, ni wengi hawamjui. Huyu jamaa mwekee totoz, na hela za mkato, ni lazima anase.

Ova
 
Hii inathibitisha
 
Hivi ndivyo wafanya biashara walivyo. Wao ni pesa tu, wala hakuna cha kutetea wanyonge.
Watanzania wana akili san, ndio maana kila uchaguzi wanawapotezea mbali.
Ficha upumbavu wako wewe. Chaguzi Gani halali zinazifanyika Tanzania!? Kumbe ukiwa mwana ccm unakuwa mjinga kiasi hiki! Aisee ni hatari!? Nape mwenyewe amekiri kuhusu dhuluma za uchaguzi wanazofanya, hata yule DC aliyefukuzwa Longido alikiri Hilo. Wewe kikaragosiunakuja kuwasingizia waTz ujinga!
 

Mkuu bado msimamo wako ni uleule baada ya kusikia upande wa pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…