Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Bahati aliyonayo, ni wengi hawamjui. Huyu jamaa mwekee totoz, na hela za mkato, ni lazima anase.Acha hii mbuzi Wenje, ilibaki kidogo auze Kura zetu za ubunge wa Nyamagana kwa Masha
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati aliyonayo, ni wengi hawamjui. Huyu jamaa mwekee totoz, na hela za mkato, ni lazima anase.Acha hii mbuzi Wenje, ilibaki kidogo auze Kura zetu za ubunge wa Nyamagana kwa Masha
Hii inathibitishaNimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu au faida zipi ukizingatia inaleta mgawanyiko sana ndani ya chama chake!
Nilikuwa nasubiria kwa shauku kumsikia Mbowe atajibu vipi tuhuma za watu wake kuhongwa pesa za Abdul lakini maelezo ya Wenje yamenyooka sana, yanatosha na naona yana ukweli mkubwa kuliko tuhuma za Lissu.
Ficha upumbavu wako wewe. Chaguzi Gani halali zinazifanyika Tanzania!? Kumbe ukiwa mwana ccm unakuwa mjinga kiasi hiki! Aisee ni hatari!? Nape mwenyewe amekiri kuhusu dhuluma za uchaguzi wanazofanya, hata yule DC aliyefukuzwa Longido alikiri Hilo. Wewe kikaragosiunakuja kuwasingizia waTz ujinga!Hivi ndivyo wafanya biashara walivyo. Wao ni pesa tu, wala hakuna cha kutetea wanyonge.
Watanzania wana akili san, ndio maana kila uchaguzi wanawapotezea mbali.
Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.