Unalipwa bei gani?Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu au faida zipi ukizingatia inaleta mgawanyiko sana ndani ya chama chake!
Nilikuwa nasubiria kwa shauku kumsikia Mbowe atajibu vipi tuhuma za watu wake kuhongwa pesa za Abdul lakini maelezo ya Wenje yamenyooka sana, yanatosha na naona yana ukweli mkubwa kuliko tuhuma za Lissu.
Ingekuwa hivyo basi angekuwa ameishapata maana hajaanza jana kudai malipo yake serikalini. Hata alipoonana na Mkuu wa Nchi Ulaya alimwambia kuhusu malipo yake. Si wanasema dalili ya kichaa ni kurudia kufanya kile kile siku zote na kutegemea matokeo tofauti? Ulitaka Lissu aendelee kuwaomba watu wa serikali ambao siku zote wanampiga dana dana?Unahitaji uwe kichaa ili utetee huu uchafu yaani malipo ya Lisu ayaulizie Kwa Abdul ambaye sio mfanyakazi wa serikali
Sasa hayo maelezo yaliyonyooka yako wapi? Labda, hata wewe huyaamini hayo maelezo yake. Wenje ni ZZK tu, hawezi kuacha fursa yoyote ya hela, namjua kwa karibu sana.Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu au faida zipi ukizingatia inaleta mgawanyiko sana ndani ya chama chake!
Nilikuwa nasubiria kwa shauku kumsikia Mbowe atajibu vipi tuhuma za watu wake kuhongwa pesa za Abdul lakini maelezo ya Wenje yamenyooka sana, yanatosha na naona yana ukweli mkubwa kuliko tuhuma za Lissu.
Wewe kama mtu mzima, ulitarajia wenje atakubali kua zilikua ni pesa za hongoNjia aliyotumia Wenje inaweza kuwa ina shida lakini ameelezea sababu ni zipi ilikuwa hivyo na akatolea mfano jinsi nchi hii contractor anaweza akajenga na kukamilisha mradi vizuri kabisa akiwa na certificates zote lakini akawa anazungushwa katika malipo yake ndipo ambapo watu wanatumia watu wanaowajua watu wenye mamlaka ili tu kukwamua haki zao. Kumtumia Abdul ili kushawishi malipo halali ya Lissu yalipwe na serikali japo ni jambo la hovyo lakini sio rushwa kama anavyoelezea Lissu kuhongwa "pesa za Abdul".
Si kasema Lissu alikuwa anaharisha tokea Arusha Au hukusikia?Dunia gani hiyo wewe unaishi, kuna kesi nyingi watoto wa queen uingereza wameingia matatizo kama hayo .Wahongaji walikuwa wanapitia kwao ila wazungu hawana ushenzi kama huo kwenye hongo. Abdul alijua njia ya kumpata lissu ni kupitia shida yake ya pesa......Hilo tatizo la lissu yalikuwa mazingira tu ya namna ya kumpata....Ndo maana watu wanatekwa...hapo angeweza ata kumteka, kingine ni kwamba lissu aliona usalama wake ni mkubwa nyumbani kuliko kwenda uko hotelini.....huyo Wenje muongo
Inawezekana kabisa ukizingatia pia kuna pesa ambayo Wenje alikuwa anategemewa atalipiwa kutokea malipo ambayo Lissu angelipwa na serikali, imetokea wamekaa na mtu wa karibu kabisa wa demigod wa nchi akaona ngoja ajaribu bahati yake labda wanaweza kumtendea Lissu haki yake na yeye akaambulia shillingi alizotumbukiza kuokoa uhai wa Lissu.Kwamba Wenje amemwona kwa mara ya kwanza shereheni, hapo hapo akaanzisha suala la madai ya Lisu na kufikia hatua ya kumpigia Lisu simu. Mtu ambaye ulikuwa humjui unakutana naye mara hiyo na kumuekeza matatizo yako. Kisha yeye anajotolea kumfuata nyumbani msaidiwa badala ya kumtaka mwomba msaada kumfuata.
Lissu ana make up story for political survival...Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu au faida zipi ukizingatia inaleta mgawanyiko sana ndani ya chama chake!
Nilikuwa nasubiria kwa shauku kumsikia Mbowe atajibu vipi tuhuma za watu wake kuhongwa pesa za Abdul lakini maelezo ya Wenje yamenyooka sana, yanatosha na naona yana ukweli mkubwa kuliko tuhuma za Lissu.
Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.

Kwenye utawala wa Mama kuna cheo cha "rais mtoto" yule jamaa wa Chato alikuwa hapendi mambo ya kipumbavu ya kuwa na Mastermind km huyo.Wenje anadai walimpelekea document abdul ili averify?
Abdul anaverify malipo ya serikali? Abdul anacheo gani serikalini?
Lissu ana make up story for political survival...
Ukimsikiliza Wenje anaongea vitu vinavyotokea kila siku kwenye maisha ya kaz na kwenye mapambano ya Kila Siku
Fikiria Wenje anamdai Lissu kea madai kwamba akilipwa na yeye atampa fedha zake, cha kushangaza mtu anamsaidia apate malipo yake ba Email anatuma..
Miez sita baadae anamwita mla rushwa ..kweli?
Hoja za kwenda nyumbani kwake ni kwasababu alikuwa anaharisha tokea Arusha mbona hilo hasemi?
Siasa za kuchafua wengine ili wewe ukae hapo juu ..
Mtu wa hovyo sana
This is beyond your pay range...
mbowe must step down, the time is over, enoughMbowe is the right person in the wrong time .
Mbowe ni amefika kiwango chake cha mwisho he has nothing to offer
Akiendelea ataharibu .
Yamenyoka lkn huyaweki hapa Ili na sisi tuyasikie. Lakini pia wewe ushachagua upande tangu muda mrefu kabla hata hujasikiliza hizo tuhuma.
This is beyond your pay range...
Relax..
Wenje atakuwa watchdog wa Mbowe kuangalia nyendo za LisuHalafu anagombea Makamu mwenyekiti endapo atashinda na Lisu akashinda hawa watafanya kazi kama mtu na msaidizi wake?