LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mbona maelezo ya wenje yanadai Abdul alisema alishalipwa? Alijuaje?Abdul hawezi kuwa anafuatilia kila siku kujua kama Lissu ameshalipwa pesa zake, Abdul ana maisha yake na ishu zake nyingine.