Hakuna ushahidi wowote wa kuonyesha Mbowe kahongwa chochote kutoka CCM, unaweza kuwa hukubaliani na Mbowe anavyoongoza CHADEMA lakini sio sawa kumzushia hayo mambo kwa sababu tu hamkubaliani naye.Mbowe na wewe mmeshachukuwa chenu. Lissu amekataa kwa sababu hataki rushwa. Samia anajua hakubaliki ndiyo maana amemhonga Mbowe akitaka asipate ushindani uchaguzi ujao. Mbowe ni dalali. Katudanganya siku nyingi lakini sasa hivi amefika mwisho wa utapeli wake.
Sijui umewezaje kupima hadi ukafanikiwa kupata maelezo ya Wenje yaliyonyooka.Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu au faida zipi ukizingatia inaleta mgawanyiko sana ndani ya chama chake!
Nilikuwa nasubiria kwa shauku kumsikia Mbowe atajibu vipi tuhuma za watu wake kuhongwa pesa za Abdul lakini maelezo ya Wenje yamenyooka sana, yanatosha na naona yana ukweli mkubwa kuliko tuhuma za Lissu.
Yaani Lissu apeleke document kwa Abdul kwa ajili ya kufanyiwa verifications? Wenje hayupo serious kabisa.Wenje anadai walimpelekea document abdul ili averify?
Abdul anaverify malipo ya serikali? Abdul anacheo gani serikalini?
Wenje ameelezea hilo kwamba ni kawaida duniani kote kutumia watu maarafu au walio karibu na viongozi kushawishi kukwamua mambo yanapokwama, japo hili kweli ni tatizo la kimfumo lakini sio rushwa kama inavyoelezwa na Lissu kwa maana ya "pesa za Abdul".
Sijaona contradictions katika maelezo aliyotoa Wenje lakini pia ameuliza maswali ya msingi sana ambayo ukiyatafakiri kwa fikra huru unaona anachokisema Lissu kuhusu watu ndani ya chama chake kuhongwa pesa za Abdul hakuna mashiko sana.Sijui umewezaje kupima hadi ukafanikiwa kupata maelezo ya Wenje yaliyonyooka.
Wenje alitumia karibu masaa mawili kuelezea tuhuma iliyotolewa kwa dakika moja.
Nilitaraji ungetamani Lissu ahojiwe ili uweze kupima maelezo yao, lakini imekuwa kinyume chake.
Binafsi maelezo ya Wenje yamezidi kuibua maswali kichwani mwangu, natamani Lissu apatiwe platform kama ile ili abananishwe, baada ya maelezo yake ndiyo naweza nikapima.
Binafsi sikuwahi hata kui buyu ile tuhuma ya Abdul sababu hata namna ilivyoongelewa ni kama imewekwa kwenye mabano, ingawa kuna vitu aliwahi kufungua.
Ila wenzetu mna vipaji vya kupima na mmeshapata majibu...Hongera sana mkuu.
Maelezo aliyoyasikiliza yeye huko alikosikiliza ambako hatujui ni wapi na lini, na alisikiliza nini anataka tushirikiane nae katika kuyajadili.Umeshindwa hata kuandika muhtasari wa maelezo yake, japo kwa sentensi moja au mbili? Uandishi wako mbona wa mhemko sana?
Tutajadilije hapo sasa?
Abdul yuko katika nafasi nzuri ya kukwamua mambo ya washikaji, marafiki na ndugu zake pamoja na watu wengine wachache wanaoweza kukatana kama ilivyotokea kwa Wenje ila hayuko katika nafasi nzuri ya kukwamua mambo ya kinchi.Wenje anataka Abdul asaidie nini kwenye kukwamua mambo nchini?
Hizi kampeni sidhani kama zitasaidia. Kwa sasa upepo upo kwa Lissu. Machaguo yapo mawili tu, Mbowe agombee tena na apate uenyekiti Chadema ife au Lissu agombee na apate uenyekikiti Chadema iendelee kuwa imara.Mbowe ni mfanyabiashara kwenye siasa kuna maslahi yake, Mbowe akiamua kuwa serious na siasa na dhamira ya kweli binafsi naamini anaweza kuwa Rais wa nchi.
Mbowe ni genius lakini bahati ndio hiyo hayuko serious kivilee kama tunavyofikiria.
Tundu jana sifa za kuwa kiongozi, kitaaluma hasa kwenye field yake ya Sheria anawezakuwa anajua sana lakini huku kwingine analazimisha tu, uwezo wake ni mdogo sana.
Narudia tena Mbowe hayuko siasa ni biashara kwake na anajua anachokifanya, kichwani ni genius na anajua mambo mengi sana (ana exposure kubwa na he is well informed na mambo ya nchi hii) ukimfananisha na Lissu.
Binafsi ukiniambia nipange kumi Bora za watu wanaofaa kuwa maRais wa nchi hii basi Mbowe nitamuweka ila sio Lissu.
Tatizo letu ni kuwa tunapenda "conspiracy theories na majibu mepesi mepesi". Mbona maelezo haya yamekaa vizuri kuliko ya Lissu?Umesahau Wenje walikutana na Abdul katika shughuli/sherehe fulani, wakawa wamekaa meza moja lakini Wenje akiwa hamjui ni nani, ndipo akatambulishwa huyu ni mtoto wa Rais katika kupiga story ndipo akamuuliza kwa nini lakini Serikali ya mama yake haitaki kumlipa Lissu madai yake, Abdul akasema mbona anafahamu ameshalipwa ndipo Wenje akampigia Lissu simu baada ya sherehe amthibitishie Abdul kwamba bado hajalipwa pesa zake anazoidai Serikali ndipo wakapanga hadi huko kukutana Lissu akiwa na nyaraka za matibabu ili Abdul asaidie kufanikisha hilo jambo.
Abdul yuko katika nafasi nzuri ya kukwamua mambo ya washikaji, marafiki na ndugu zake pamoja na watu wengine wachache wanaoweza kukatana kama ilivyotokea kwa Wenje ila hayuko katika nafasi nzuri ya kukwamua mambo ya kinchi.
Hivi kuna mtu yuko karibu na Rais kuliko mtoto wake? Na mwenye access nae kuliko mwanae? Na atakayemuamini kuliko mwanae? Katika nchi ambayo Rais ndio Alpha na Omega, hii inampa nguvu kupita kiasi. Kama vile waziri wa Tamisemi alivyo na nguvu.Abdul yuko katika nafasi nzuri ya kukwamua mambo ya washikaji, marafiki na ndugu zake pamoja na watu wengine wachache wanaoweza kukatana kama ilivyotokea kwa Wenje ila hayuko katika nafasi nzuri ya kukwamua mambo ya kinchi.
Unajidanganya. Lissu alihitaji mtu anaeweza kumsukuma Rais ili atimize ahadi yake. Mwanae ana nafasi pekee katika hilo. Kama ilivyokuwa kwa mama Siti. Kama ilivyokuwa kwa Ridhwani n.k. Lissu hakuwa na namna ya kumlazimisha atimize huo unaoita wajibu wake.Basi Lissu hahitaji ujanjaujanja ktk mambo ya nchi. Hakuna kitu ambacho Abduli angejua kwa Lissu ambacho mama yake hajui. Lissu alikutana na mama yake Brussels, Lissu akamueleza kila kitu. Pili Mama yake akitaka faili la Lissu ni suala la kuiagiza Idara ya Usalama impe taarifa. Lissu hahitaji "connection" ya mtoto wa rais ili rais atimize wajibu wake kwenye haki zake
Mkuu, mbona una mnyong'onyeza Mkuu mwezako?Wenje anadai walimpelekea document abdul ili averify?
Abdul anaverify malipo ya serikali? Abdul anacheo gani serikalini?
Unajidanganya. Lissu alihitaji mtu anaeweza kumsukuma Rais ili atimize ahadi yake. Mwanae ana nafasi pekee katika hilo. Kama ilivyokuwa kwa mama Siti. Kama ilivyokuwa kwa Ridhwani n.k. Lissu hakuwa na namna ya kumlazimisha atimize huo unaoita wajibu wake.
Ni kama vile suala la COVID-19. Hamna mtu anaeweza kumlazimisha awanyang'anye ubunge. Si Spika, si Jaji Mkuu. Ni mpaka mwenyewe aamue. Na hamna la kumfanya maana Katiba inampa hayo mamlaka.
Amandla...
Inaelekea Lissu hajalipwa bado. Kama ni hivyo mwanae hakufanikiwa. Sasa kuna jamaa anadai kuwa zililipwa ila kuna watu CDM walizipiga. Tutasikia mengi mwaka huu.Sasa mpaka hivi sasa Samia hajasikia hili saga la mwanae na Lissu?. Keshampa Lissu haki yake?
mbowe ni jiniazi nimecheka sanaMbowe ni mfanyabiashara kwenye siasa kuna maslahi yake, Mbowe akiamua kuwa serious na siasa na dhamira ya kweli binafsi naamini anaweza kuwa Rais wa nchi.
Mbowe ni genius lakini bahati ndio hiyo hayuko serious kivilee kama tunavyofikiria.
Tundu jana sifa za kuwa kiongozi, kitaaluma hasa kwenye field yake ya Sheria anawezakuwa anajua sana lakini huku kwingine analazimisha tu, uwezo wake ni mdogo sana.
Narudia tena Mbowe hayuko siasa ni biashara kwake na anajua anachokifanya, kichwani ni genius na anajua mambo mengi sana (ana exposure kubwa na he is well informed na mambo ya nchi hii) ukimfananisha na Lissu.
Binafsi ukiniambia nipange kumi Bora za watu wanaofaa kuwa maRais wa nchi hii basi Mbowe nitamuweka ila sio Lissu.
Yamenyooka Kwa wapuuzi kama wewe.Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu au faida zipi ukizingatia inaleta mgawanyiko sana ndani ya chama chake!
Nilikuwa nasubiria kwa shauku kumsikia Mbowe atajibu vipi tuhuma za watu wake kuhongwa pesa za Abdul lakini maelezo ya Wenje yamenyooka sana,Kwa yanatosha na naona yana ukweli mkubwa kuliko tuhuma za Lissu.