Maelfu Iran waendelea kuamsha popo, maandamano yako pale pale licha ya serikali kuwaua kisa dini

sasa sahihul bukhaari ndio quran uliyodai pale juu!? mimi nilitarajia utakimbilia huku sasa mbona hoja yako umeivunja mwenyewe, hiyo miaka minne kasoro alikuwa anasubiri nini kitokee si angemchukua akiwa na miaka yake 6?.
 
Aisha anasema mwenyewe kuwa Muhammadi alimwoa akiwa na miaka 6. Akalala naye akiwa na miaka 9.

Sasa wewe nini unachokibishia hapo.

Haya tuambie tukusikilize wewe.
 
Kwanza kabla ya kwenda youtube, hawa alshabaab wanapata wapi silaha na nguvu ya kupigana vita huko pembe ya afrika.
 
Kwanza kabla ya kwenda youtube, hawa alshabaab wanapata wapi silaha na nguvu ya kupigana vita huko pembe ya afrika.
Nasema hivi.
Lengo lao ni dunia ifuate Sharia zote za Kiislamu.

Wewe mwislamu hupendi iwe hivyo ?
 
Aisha anasema mwenyewe kuwa Muhammadi alimwoa akiwa na miaka 6. Akalala naye akiwa na miaka 9.

Sasa wewe nini unachokibishia hapo.

Haya tuambie tukusikilize wewe.
Alichokisema huyu ndugu ni kwamba alikuwa anahudumia ndoa akiwa na miaka 6, mimi nikamwambia hapana alisubirishwa akiwa kwao mpaka akakua ndio akakabidhiwa, akasema quran imeeleza hivyo ndio nikampa challenge alete hiyo aya kwenye quran na hajaweza kufanya hivyo na hatoweza kabisa.
 
Muhammadi alimwoa Aisha akiwa na miaka sita, akawa mkewe halali kabisa. Haijalishi ali ishi wapi.

Akiwa na miaka 9 ndio akashiriki naye.

Sasa tuongee nini tena ndugu.
 
Nasema hivi.
Lengo lao ni dunia ifuate Sharia zote za Kiislamu.

Wewe mwislamu hupendi iwe hivyo ?
Wala hawana lengo hilo, bali wako pale kuvuruga amani ya ukanda ule kwa malengo maalumu ya kisiasa.

Kuhusu sheria ya kiislamu jambo lake ni process inayokwenda hatua kwa hatua na si from no where umekamata bunduki umeteka meli mara umeteka ambulance ukiulizwa unafanya nini? unasema lengo ni sheria ya kiislamu isimame huu utakuwa ni aina ya wehu.

Katika uislamu pana mapigano ya kujihami na mapigano ya kutanua dola na mipaka ya utawala, hii aina ya pili inahitajia nguvu na kiongozi na si kila mtu kujianzishia vita yake msituni so hawa alshabaab ni wahuni fulani wa kisomali wanaofanya yale wanayoyafanya kwa malengo maalumu ya kuharibu amani ya pembe ya afrika kwa kupitia mgongo wa dini ya kiislamu, na hawafanikiwi katu.
 
Angalia hiyo Video kwanza. Ni nzuri tu kwa Waislamu.

Kuna kila kitu cha utawala wa Kiislamu.
 
Juzi hapa waislamu pemba waliandamana kukataa ujenzi wa kanisa..je kama kweli uislm ni dini ta upendo kwa watu wote kwanini hawataki wa kristo wajenge nyumba zao za ibada?

Pia kwanini umma wa waislamu Tanzania wenye upendo usitoe tamko kulaani hayo maandamano??

#MaendeleoHayanaChama
 
Muhammadi alimwoa Aisha akiwa na miaka sita, akawa mkewe halali kabisa. Haijalishi ali ishi wapi.

Akiwa na miaka 9 ndio akashiriki naye.

Sasa tuongee nini tena ndugu.
Hicho ni sahihi na maelezo yangu kulikiri hilo yako kwenye post za nyuma, na kwenye uislamu hapana vibaya binti kuozeshwa kisha akakaa kwa wazazi wake mpaka akue ndio aende kwa mumewe hilo lipo na lina maslahi makubwa mno.
 
Ndio mafundisho ya uislam..ndio mana wanaitwa waislamu itikadi kali..yani wale wanaofuata uislamu bila kupindisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Angalia hiyo Video kwanza. Ni nzuri tu kwa Waislamu.

Kuna kila kitu cha utawala wa Kiislamu.
Mimi nimeshiriki kwenye documentaries kuwahusu hao jamaa nadhani hakuna kipya ambacho sikijui mkuu, wewe tambua hao target yao ya kwanza ni waislamu wanaowafumbua macho waislamu kuhusu uovu wao kisha ndio watasumbua sumbua kidogo wakristo au kuvamia maduka na supermarkets na kuteka magari basi.
 
Ndio mafundisho ya uislam..ndio mana wanaitwa waislamu itikadi kali..yani wale wanaofuata uislamu bila kupindisha.

#MaendeleoHayanaChama
Basi uislamu haujafundisha mtu awe itikadi kali, hawa extremists wako mbali kabisa na uislamu kwasababu dini yetu ni dini ya kati na kati haijavuka mpaka wala haijawa na uzembe.
 
Kwa hiyo kilichopo ni kwamba mtu yuko huru kuamua atumie maandiko yepi katika Kurani na ndio maana magaidi huamua kutumia yale aliyotaja mdau hapo juu kwa sababu yamo kwenye msaafu.
 
@Kazakh destroyer mbona maswali yangu huyajibu??

#MaendeleoHayanaChama
 
sorry mkuu , unaacha iman yako.unafuata iman inatuleteq ugaid na mipasuko kweny jamii , kuna uzuri gan hapo?
Hivi hawa wamarekani wanaotoka kwao na kwenda kupiga mabomu Iraq, Syria na Libya wametumwa na waislamu? Na wao ni dini gani?

Wacheni hizo propaganda zenu munazofuata za magharibi, kwani wao ndiyo waharibifu wakubwa kwa kisingizio cha ugaidi huku kumbe wanataka kuiba mafuta ya hao wanaowaita waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…