Maelfu Iran waendelea kuamsha popo, maandamano yako pale pale licha ya serikali kuwaua kisa dini

Muhammad alikuwa anaishi kinyumba na Aisha toka miaka SITA , na alipiga mkuyati akiwa na miaka Tisa
Katoto Aisha kalikuwa kanacheza na midoli nyumbani kwa pedophile

Nukuu sahih
Aisha aliripoti kwamba alikuwa akicheza na mwanasesere mbele ya Muhammad na wakati watoto wenzake walipo muona mtume waliondoka (nyumbani) kwa sababu walihisi aibu kwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu. na Mtume wa Mwenyezi Mungu akawaruhusu waendelee kucheza nae. Sahih al-Bukhari 6130
 
Mpaka watoto wa kike wanaona aibu.

Ila huyo babu, mbora wa mitume haoni soni yoyote kutongoza na kuvioa vitoto vya kike.

Huyu mtume ndio maana anapiganiwa kwa mapanga.

Ili kujaribu kumfichia fedheha alizo zifanya.

Lakini wapi, maandiko ya hao hao Waislamu yana muumbua.

Anazidiwa busara hadi na vitoto vya kawaida vya kike.

Hili ni janga

Shame on him.
 
Japo mimi siamini katika dini ila kwa hapa naomba niwatetee ishu ya kuoa mtoto wa miaka 6.
Soma hii link utaona

Umesoma au umekurupuka? Kama lugha tatizo sema usaidiwe.
Ungesoma ungekuja na hoja zako kujibu hoja za kwenye hiyo makala.
Aliyeandika si muislam kama mimi na wewe.
Nimesoma kidogo , nimeona alieandika anamlinganisha Muhammad na ma pedophile wengine wa zamani
 
Kwa hiyo kilichopo ni kwamba mtu yuko huru kuamua atumie maandiko yepi katika Kurani na ndio maana magaidi huamua kutumia yale aliyotaja mdau hapo juu kwa sababu yamo kwenye msaafu.
Hapana jambo halipo hivyo na wale magaidi wanalipua watu hovyo na kujitoa muhanga nani ameamrisha vitu kama hivyo? nimetangulia kusema huko juu ukiachana na kuwa yale mambo yapo kinyume na uislamu lakini pia haifai kukata miti na kuua wanawake na watoto na watu wasiohusika na vita sasa swali la kujiuliza ile ni vita baina ya nani na nani? na kiongozi wa waislamu ni nani?.

Ukipata majibu utakuwa umenielewa.
 
Nilitaka kushangaa hawa vihiyo technology hii wameitoa wapi?
 
@Kazakh destroyer mbona maswali yangu huyajibu??

#MaendeleoHayanaChama
sorry mkuu sikuona kama umeniquote, kuhusu maandamano na migomo ziko mada nyingi sana zimeshazungumzwa kuhusu hilo, tangu wakati wa mgomo wa sensa na matukio mengine mengi kiasi kwamba imekuwa jambo linalofahamika isipokuwa kwa wale walioamua kukaidi.
 
Shia ni Waislamu kabisa. Acha uongo kuwaondolea uislamu wao. Wanatumia Quran na vitabu vyote. Tena afadhali Shia kuliko Answar Sunni. Hao ndo balaa.....
 
Shia ni Waislamu kabisa. Acha uongo kuwaondolea uislamu wao. Wanatumia Quran na vitabu vyote. Tena afadhali Shia kuliko Answar Sunni. Hao ndo balaa.....
Unaongea kwa elimu au umeamua tu mkuu? shia hawaswali swala 5 na kila kitu chao ni tofauti mpaka kushika udhu, mashia kwa ujumla wao ni watu wasio waislamu.
 
Mbona kama umekwepa swali..swali langu lipo straight wewe umeniletea kona kona na mafumbo matupu..yanayozua maswali mengi zaidi.

#MaendeleoHayanaChama
 
wale mitume wote walikuwa waislamu na ujumbe wao mitume wote ni mmoja tu, nilichokimaanisha hapo sio utaifa wa mtu bali nimekusudia uyahudi kama dini, kwani haufahamu kuwa uyahudi ni dini inayojitegemea?.
Sasa muhamad anaposema yeye ndo mtume wa kwanza na kuwasilimisha majini inakuaje? Mnajichanganya sana.
 
Mbona kama umekwepa swali..swali langu lipo straight wewe umeniletea kona kona na mafumbo matupu..yanayozua maswali mengi zaidi.

#MaendeleoHayanaChama
Samahani niulize tena kwa utaratibu utakaoleweka zaidi kisha nitakujibu inshaallah.
 
Sasa muhamad anaposema yeye ndo mtume wa kwanza na kuwasilimisha majini inakuaje? Mnajichanganya sana.
Mtume wa kwanza na kuwasilimisha majini umemaanisha nini mkuu, umepata kumsikia mtume sulaymaan mwana wa daudi amani iwe juu yao? huyo aliwatumikisha kabisa wakamjengea makasri na wakazamia lulu chini ya bahari kwaajili yake.
 
wale mitume wote walikuwa waislamu na ujumbe wao mitume wote ni mmoja tu, nilichokimaanisha hapo sio utaifa wa mtu bali nimekusudia uyahudi kama dini, kwani haufahamu kuwa uyahudi ni dini inayojitegemea?.
ACHA UONGO. UISLAMU UNAJENGWA KATIKA JANJA JANJA SANA.
SOMA HAPA.
 
Mtume wa kwanza na kuwasilimisha majini umemaanisha nini mkuu, umepata kumsikia mtume sulaymaan mwana wa daudi amani iwe juu yao? huyo aliwatumikisha kabisa wakamjengea makasri na wakazamia lulu chini ya bahari kwaajili yake.
Hii utakuwa umeitoa kwenye Quran. Kwenye Biblia haipo. Uislamu Majini ni ndugu zenu na yalikuwa ya Kwanza kusilimu baada ya Muhamad kuwa muisalmu wa kwanza.

Majini ni ndugu zenu na wote mna muabudu allah. Yaliipenda sana dini ya kiislamu yakasema hakika hiyo ndiyo dini ya kweli. MAJINI.😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…