Maamzi ya kumpokea na kumptisha Lowassa yalikuwa sahihi sana kwa wakati ule. Utakumbuka ndo maana utakumbuka Lubuva aliazimika kututangazia huyu tuliyenaye kwa bao la mkono. Kumbuka kilicho wapata ma- IT wa CHADEMA waliokuwa wanakusanya matokeo ya kura halisi katika vituo vitatu kitu gani kiliwapata, Kesi ya kubambizwa inawahusu mahakamani mpaka leo hii. Kumbuka ma- IT was kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu waliokuwa wanakusanya matokeo halisi ya kura Computer ziliporwa. Na kule Zanzibar kwa kuwa kulikuwa na Tume Huru ilimlazimu Jecha kufuta uchaguzi kwa mtutu wa bunduki. Kama uchaguzi 2015 ungekuwa wa haki tungeshuhudia mfumo wa utawala unabadirika bara na visiwani. Lakini Dora na tume vilipindisha maamzi ya wapigakura.Mkuu kiongozi akishakaa zaidi ya miaka 15 kwenye taasisi zetu huku Afrika, ni nadra sana kupita tena kwenye uchaguzi kwa haki. Sisemi hakutakuwa na haki kwenye uchaguzi, lakini sitegemei hiyo haki kwenye huo uchaguzi, hasa kutokana na uzoefu wangu kwa viongozi wa muda mrefu hivyo.
Bado nasisitiza hata akishinda kwa haki kama itakuwepo, miaka 15 inatosha sana kwa mtu kukaa madarakani. Hata akishinda kwa haki sioni akiwa na wazo au hamasa mpya zaidi ya alizokuwa nazo huko nyuma. Kitendo tu cha kumpokea Lowassa, na kumpa nafasi adhimu ya kugombea urais dakika za mwisho bila maandalizi sahihi na sasa karejea ccm, ile peke yake ilipaswa kwa kiongozi makini kustep down.
kufuatilia matukio ya rais ziarani,na kukimbilia humu kupinga pinga ujinga mtupu wa ufipa!Sasa za matukio ni zipi, an example please kbosho,
Kiukweli Upinzani bado unamuhitaji sana Mbowe ila this time apunguze upole na siasa za matukio.
Maamzi ya kumpokea na kumptisha Lowassa yalikuwa sahihi sana kwa wakati ule. Utakumbuka ndo maana utakumbuka Lubuva aliazimika kututangazia huyu tuliyenaye kwa bao la mkono. Kumbuka kilicho wapata ma- IT wa CHADEMA waliokuwa wanakusanya matokeo ya kura halisi katika vituo vitatu kitu gani kiliwapata, Kesi ya kubambizwa inawahusu mahakamani mpaka leo hii. Kumbuka ma- IT was kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu waliokuwa wanakusanya matokeo halisi ya kura Computer ziliporwa. Na kule Zanzibar kwa kuwa kulikuwa na Tume Huru ilimlazimu Jecha kufuta uchaguzi kwa mtutu wa bunduki. Kama uchaguzi 2015 ungekuwa wa haki tungeshuhudia mfumo wa utawala unabadirika bara na visiwani. Lakini Dora na tume vilipindisha maamzi ya wapigakura.
Kuhusu Lowassa hata Mimi sikumpenda, lakini kama Sanduku la kura lingeheshimiwa alifanikiwa kututoa kwenye makucha ya Shetani. Kurudi kwa Lowassa CCM ni hofu ya kudhurika iliyomkabili. Hata Mimi na wewe tuna hofu ndo maana tumejificha Jamiiforums na ID fake tukimwachia Max Mero ateswe na kuhangaishwa na Dora ili kutupa Uhuru sisi kusema ukweli.
Ubarikiwe KiongoziMaamzi ya kumpokea na kumptisha Lowassa yalikuwa sahihi sana kwa wakati ule. Utakumbuka ndo maana utakumbuka Lubuva aliazimika kututangazia huyu tuliyenaye kwa bao la mkono. Kumbuka kilicho wapata ma- IT wa CHADEMA waliokuwa wanakusanya matokeo ya kura halisi katika vituo vitatu kitu gani kiliwapata, Kesi ya kubambizwa inawahusu mahakamani mpaka leo hii. Kumbuka ma- IT was kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu waliokuwa wanakusanya matokeo halisi ya kura Computer ziliporwa. Na kule Zanzibar kwa kuwa kulikuwa na Tume Huru ilimlazimu Jecha kufuta uchaguzi kwa mtutu wa bunduki. Kama uchaguzi 2015 ungekuwa wa haki tungeshuhudia mfumo wa utawala unabadirika bara na visiwani. Lakini Dora na tume vilipindisha maamzi ya wapigakura.
Kuhusu Lowassa hata Mimi sikumpenda, lakini kama Sanduku la kura lingeheshimiwa alifanikiwa kututoa kwenye makucha ya Shetani. Kurudi kwa Lowassa CCM ni hofu ya kudhurika iliyomkabili. Hata Mimi na wewe tuna hofu ndo maana tumejificha Jamiiforums na ID fake tukimwachia Max Mero ateswe na kuhangaishwa na Dora ili kutupa Uhuru sisi kusema ukweli.
Hayo yanawahusu nyie.Sisi haituhusu kabisaNa wananchi wakimhitaji MAGUFULI kwa kufungua kesi mahakamani kuzuia ukomo wa urais msijepiga kelele,maana sasa kinachoonekana si utiiwa katiba zenu wenyewe,Ni kuzibadili badili tu ili tunaowataka waendelee kuwepo madarakani...
Kwa hiyo wale wanaotaka rais MAGUFULI abakie madarakani kwa kuamini kuwa ndiye bora kuliko wengine wote tusiwaone kuwa wanatumika,ni mapenzi yao kwa rais wao...
Amina kiongozi wanguHakuna upinzani bila mbowe kwa sasa tanzania
Hakuna
Huu ni ubabe umetumika
Mbowe apunguze udkteta
Kwanini achangishe Wakati yeye ni bilionea?
Maamzi ya kumpokea na kumptisha Lowassa yalikuwa sahihi sana kwa wakati ule. Utakumbuka ndo maana utakumbuka Lubuva aliazimika kututangazia huyu tuliyenaye kwa bao la mkono. Kumbuka kilicho wapata ma- IT wa CHADEMA waliokuwa wanakusanya matokeo ya kura halisi katika vituo vitatu kitu gani kiliwapata, Kesi ya kubambizwa inawahusu mahakamani mpaka leo hii. Kumbuka ma- IT was kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu waliokuwa wanakusanya matokeo halisi ya kura Computer ziliporwa. Na kule Zanzibar kwa kuwa kulikuwa na Tume Huru ilimlazimu Jecha kufuta uchaguzi kwa mtutu wa bunduki. Kama uchaguzi 2015 ungekuwa wa haki tungeshuhudia mfumo wa utawala unabadirika bara na visiwani. Lakini Dora na tume vilipindisha maamzi ya wapigakura.
Kuhusu Lowassa hata Mimi sikumpenda, lakini kama Sanduku la kura lingeheshimiwa alifanikiwa kututoa kwenye makucha ya Shetani. Kurudi kwa Lowassa CCM ni hofu ya kudhurika iliyomkabili. Hata Mimi na wewe tuna hofu ndo maana tumejificha Jamiiforums na ID fake tukimwachia Max Mero ateswe na kuhangaishwa na Dora ili kutupa Uhuru sisi kusema ukweli.
Mkuu huenda unadhani nimesema kumchukua Lowassa ni kosa nimesema kwa bahati mbaya. Lengo la cdm ilikuwa ni kuupata urais tu bila kujali hata imani ya huyo anayepewa nafasi? Ni kweli Lowassa alikuwa na falsafa za cdm? Je Lowassa angekuwa madarakani leo kungekuwa na tofauti yoyote ya ccm kuwa madarakani? Unaamini kabisa Lowassa angekuwa madarakani angewatumia wanacdm kuongoza nchi, au angewaleta wafuasi wake toka ccm na kuwapa madaraka? Cdm tuliyokuwa tunaiamini na kuipigania ilikuwa ni ya kutupatia kiongozi tena toka ccm ndani ya miezi miwili? Ww toka umemjua Lowassa ni lini uliwahi kumuona akijenga hoja za kisiasa zaidi ya kukaa kimtandao yeye na kundi lake na wapambe kummwagia sifa tu?
Kitendo cha cdm kuchukua kiongozi kwa mwendo kasi tena mwenye mawaa lile lilikuwa kosa la kiufundi, bila kujali angekuwa rais ama la. Sawa tuchukulie yeye kaamua kurudi ccm kwa ajili ya hofu, huoni kama huyo ni mbinafsi? Mbona akina Lissu nk hawarudi ccm, au wao hawana hofu ya maisha?
Tuwe wakweli tu, Mbowe kwa kosa lile na cabinet yake walipaswa kujiuzulu, kama kujiuzulu ni ngumu kwetu, basi huu ndio ulikuwa muda sahihi wa kukaa pembeni kwenye unyekiti kama sehemu ya samahani ya kosa lile. Halafu mabadiliko ya uongozi wa sura, hata huyo Magufuli ni badiliko la sura, lakini hata hiyo katiba tusingeeipata kama Lowassa angekuwa rais maana Lowassa hakuwa muumini wa katiba mpya.
Naunga mkono hojaHata mimi niko tayar! Mbowe amenifunza mengi sana kwenye maisha kupitia ukomavu wake kwenye siasa. ANASTAHILI HESHIMA KUBWA SANA,URAIS,UBUNGE WALA UWENYEKITI HAVIMTOSHI KUMPA HESHIMA ANAYOSTAHILI. MBOWE UNASTAHILI HESHIMA TUU MBINGU NA ARDHI VINAFAHAMU HILI HUJAVIKANYAGA BURE.
Huelewi Political calculationsKosa lile waliohusika kumpokea yule mzee watalijutia maisha yao yote na walipaswa kujiuzulu kwa kutupa falsafa na itikadi ya chama kwa kumpokea Mzee Lowassa ambaye hata hoja za msingi za yeye kuwa rais hakuwa nazo.
HajitambuiUmesoma vizuri uzi unazungumzia nini
Kosa lile waliohusika kumpokea yule mzee watalijutia maisha yao yote na walipaswa kujiuzulu kwa kutupa falsafa na itikadi ya chama kwa kumpokea Mzee Lowassa ambaye hata hoja za msingi za yeye kuwa rais hakuwa nazo.
Huelewi Political calculations