Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.

Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.


Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
 
Adui mkubwa wa Taifa hili ni ujinga. Na ujinga ndo mtaji mkuu wa CCM
 
Sitaki niwe na imani ya namna hii. Nataka ni'struggle' katika maisha, huku nikimwomba Mungu anisadie kwa kutumia njia za kawaida na si kutafuta mafanikio kwa miujiza. Ukifanikiwa kutokana na 'struggle' unaweza hata ukamshauri mtu anayekuja kuomba ushauri jinsi ulivyo'struggle' hadi kufanikiwa, lakini ukifanikiwa kwa muujiza hutaweza kumshauri mtu mwingine namna gani umefanya hadi ukafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…