Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tofauti kati ya kua na elimu na kuelimika,Wapo mpaka wasomi na degree zao kwenye foleni ya Udongo mtakatifu
Kwa mfano huu nchi hii labda ina wasomi wengi ambao hawajaelimikaKuna tofauti kati ya kua na elimu na kuelimika,
Unaweza ukawa na elimu ila ukawa hujaelimika,elimu ikashindwa kukukomboa kifikra,
Akili ni kile kinachobaki kichwani mwako baada ya kuondoa kile ulichofundishwa darasani.
Ni shida sana MkuuNa anazichanga kweli kweli . Nabii mkuu Geo Davie atakua amemind jamaa amekuja Arusha kumuharibia soko lake
Hayapo , NeverNa hakunaga mafanikio ya miujiza
Ova
Wewe umeshachukua?Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.
Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.
View attachment 3102836View attachment 3102837
Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
Ujinga hauna kiwango cha elimu.Wapo mpaka wasomi na degree zao kwenye foleni ya Udongo mtakatifu
Imani za hivi ni vifungo vya kifikra na kukataa tamaa watu wanaamini katika miujiza badala ya juhudi na maarifa.Sitaki niwe na imani ya namna hii. Nataka ni'struggle' katika maisha, huku nikimwomba Mungu anisadie kwa kutumia njia za kawaida na si kutafuta mafanikio kwa miujiza.
Nipo Dar ila nimeagiza kilo 50 zitapakiwa kwenye basi kesho kwajili ya ndugu na jamaa wameniomba hawana hela ya kununulia niwasaidie.Wewe umeshachukua?
Utashangaa hata watekaji wamejaaaamooo.Ona wajinga walivyojaaa
Ova
UnauzwaHivi ni kuchukua udongo au kununua udongo?
Kwani wanapewa bure?
Zamani kwenye miaka ya 90's tulizoea kuona watoto wa mjini (waisilamu?) wakiwa wamefungwa hirizi(transistor )kiunoni au mkononi.Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.
Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.
View attachment 3102836View attachment 3102837
Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
Mfano, katika hao wote unadhani kama mtu shida yake ni kukosa mtaji wa biashara, au ada ya masomo, au shamba la kununua kwa sababu hela uliyonayo haitoshi, au mzazi ni mgonjwa nyumbani kwa sababu ya uzee, au matatizo mengine yote, nani atakayefanikiwa?Imani za hivi ni vifungo vya kifikra na kukataa tamaa watu wanaamini katika miujiza badala ya juhudi na maarifa.