Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa

Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa

Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.

Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.
Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
Yes it really worked kwa watu. Unajua mambo ya Imani
 
Adui mkubwa wa Taifa hili ni ujinga. Na ujinga ndo mtaji mkuu wa CCM

Vijana wa kule Bangladesh waliamua kuwadhibiti wazee wote wasio na elimu ambao walikua ni mtaji mkubwa wa kura kwa wanasiasa majizi na mafisadi kupata ubunge,udiwani n.k .
Walihakikisha vipigia kura vyao vyote wanavidhibiti na kuhakikisha siku ya kura hawapati nafasi ya kutoka nje .

Vijana wa Kitanzania mliosoleshwa kwa Tabu sana na wazazi wenu waliokua wanaimani ya CCM ya wakati huo ili wajenge Taifa lenye haki ,ukweli kupinga rushwa ,utu na umoja msipo wadhibiti na kuwaambia ukweli kuwa hii CCM sio ile ya Nyerere ileshavamiwa na magaidi na wauaji wanaopata pesa kutoka Dubai ili kuangamiza vizazi vyenu kwa kuhakikisha mnakosa ajira ,mnabaki na imani za kishirikina eti shetani kuna mapepo yanazuia ajira zenu .

Ndio maana tuna serikali inayotegemea machifu ambao hawajui kabisa Dunia ya sayansi na teknolojia na vita ya uchumi kuwa itawaacha waafrika mbali sana.

Seikali inaweka tozo kwa ajili ya anasa kama mpira ,makongamano ,safari ,magari ya kifahari na sasa kurejesha utawala wa machifu ili baadae warejeshe na Usultani kule nahangaika kule Loliondo walipowakabidhi Waarabu kuwa jimbo lao.

Kifo ni kifo tu alimradi hakiwagusi wao .

Hilo nalo nendeni mkaliangalie.
 
Zamani kwenye miaka ya 90's tulizoea kuona watoto wa mjini (waisilamu?) wakiwa wamefungwa hirizi(transistor )kiunoni au mkononi.
Leo hii kibao kimegeuka hirizi wanatembea nazo wanawake wa kikristo kwenye pochi zao ama ni udongo, chumvi, mafuta, rozari, kitambaa nk zenye kunuiwa ni hirizi.
Neno la Yesu ni hili
'njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kuelemewa na mizigo, nami nitawapumzisha'
Sasa wamemwacha Yesu huku wakintaja tu kwa mtajo lakini tumaini lao wakiliweka kwa hirizi.
Ni aibu na ni ushahidi wa umasikini unaosababishwa na uwezo mdogo wa kupambanua mambo.
Exactly
 
Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.

Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.
Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
Hawa ndio wanaofanya viongozi wa Brazil watuone sisi ni zero brain
 
Back
Top Bottom