Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.
Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.
Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.