baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Hawataki kusoma FEza, Aga Khan, Al muntazir na nyenginezo? Wakati wenzenu wanasoma international School mnajazana Necta, mnajisifia kuwa wa kwanza Necta wenzenu wanaajiriwa Direct Ughaibuni halafu mnakuja Kulalamika humu.Ewe muumini mwenzangu ukipata muda muulize binti yako anapenda akasome wapi kati ya St. Francis na Mbeya Muslim School.
Unaweza kuomba visa ya UAE ukanyimwa na ubalozi wao?Wapo wengi tu mm nipo UAE hapa
Muwe mnaenda shule,siyo kunywa mbege tu kutwa nzimaYote mawili. Uhaba wa elimu na kujifurahisha tu. Kwani unadhani wahamiaji wa kiarabu huwa wanaingia Marekani kwa ndege?
Wanywa mbege kibao tu ni maprofesa. Elimu ya hili linaloongelewa hapa, inaonekana wewe huna.Muwe mnaenda shule,siyo kunywa mbege tu kutwa nzima
Unajua kwa nini hata ukiwa masikini ukiomba visa ya Dubai asubuhi jioni unakuwa umeipata tofauti na visa ya Marekani ambayo kama sio tajiri, unaenda kusoma, umeshinda lottery yao au una mdhamini/ndugu zako huko unaweza kuitafuta miezi na bado usiipate??Hakuna sehemu ambayo Watanzania wengi wanaenda Kushinda Dubai, ila wanajitoa tu ufahamu.
Mimi sijaleta takwimu za wazamiaji, nimeleta takwimu za wahamiaji au wewe za kwako ni za wazamiaji?Namba zako zinaonesha Saudia ni Nchi ya tatu zaidi duniani watu kuzamia, na UAE ni Nchi ya Sita, so watu wanazamia nchi za kiarabu. Ama hujui kusoma ume copy and paste?
| Country | Maximum Illegal Immigrant Population | Minimum Illegal Immigrant Population |
|---|---|---|
| Russia | 12M | 10M |
| United States | 11.4M | 10.9M |
| India | 10M | 1.4M |
| Bangladesh | 1.2M | 500K |
| France | 1.2M | 890K |
| Germany | 1M | 100K |
| South Africa | 1M | 500K |
| United Kingdom | 950K | 550K |
| Malaysia | 800K | 800K |
| Brazil | 700K | 700K |
| South Korea | 210K | 210K |
| Venezuela | 200K | 200K |
| Canada | 120K | 35K |
| China | 100K | 10K |
| Philippines | 100K | 100K |
| Australia | 100K | 50K |
| Switzerland | 100K | 100K |
| Norway | 56K | 18K |
Wanakimbilia kwenye mataifa ya makafili!🤣🤣Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Bosi nimeweka takwimu zote mbili.Ok nimekuelewa kuna tofauti kweli kati ya refugees na migrants.Swali la msingi hii mada inaongelea nini?(Refugees au migrants?)
Mada inahusu watu ambao wako tayari kuacha makazi yao kwa sababu zao wenyewe kwenda kuishi Marekani(they're willingly to give up their homeland to take refuge in the USA).Hii ni contrary na data zako nilizokataa ambazo zinaonyesha number of refugees per country.
Refugees ni watu wanasukumwa na factors kibao(i.e,vita,njaa,uongozi mbaya n.k) kutoka katika ardhi yao mama kwenda kupata hifadhi maeneo mengine(Waarabu wanaongelewa hapa wapo katika category ya migrants kwa sababu zao wanazozijua wao)
Ndio maana takwimu zako nimekwambia hazina uhusiano na mada iliyopo
Chanzo habari yako ni shibe au msongo wa mawazo?Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!
Njaa na msongo wa mawazo.Chanzo habari yako ni shibe au msongo wa mawazo?
Boss kuna tofauti kati ya traveler na Immigrant, tuanze kuelimishana kama watoto wadogo kweli?Unajua kwa nini hata ukiwa masikini ukiomba visa ya Dubai asubuhi jioni unakuwa umeipata tofauti na visa ya Marekani ambayo kama sio tajiri, unaenda kusoma, umeshinda lottery yao au una mdhamini/ndugu zako huko unaweza kuitafuta miezi na bado usiipate??
Kama nilivyoweka comment ya juu, ili u Qualify kuitwa Migrant unahitaji permanent residency, mfano umeajiriwa na Kampuni ya Mafuta Aramco una barua ya Ajira, wewe ni migrant, watu kama Kina Christiano Ronaldo, wafanyakazi wa mafuta etc wale ni migrantbaba-mwajuma unaelewa kuwa hao "migrant" wana "status" tofauti tofauti?
Free world....Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Ok,kiongozi niseme ukweli uko sahihi lakini kuna muda lazima ujue nini kinahitajika na wapi?(Natambua unajua vitu vingi lakini unaposhindwa kuchagua sehemu sahihi ya kupachika data zako ni kwamba zitaonekana hazina msaada)Bosi nimeweka takwimu zote mbili.
Hata hao ambao wapo Willing wamejaa Kibao Dubai, Saudi, Kuwait, Oman, Bahrain na kwengineko.
Ngoja nikupe Data moja Konki usipoielewa na hii hutaelewa Tena
-Nchi zote za EU kuna wakimbizi Milioni 27 (mwaka 2023)
-Nchi zote za Middle Kun fefugees milioni 54
Source
Migration and migrant population statistics - Statistics Explained
EU statistics are provided on international migration flows, migrant population stocks and acquisition of citizenship flows.ec.europa.eu
Middle East’s Migrant Population More Than Doubles Since 2005
Regional conflict and economic opportunity boost number of migrants from 25 million to 54 million.www.pewresearch.org
So middle East hasa hapo Gulf kuna immigrants milioni 54 wakati bara zima la Ulaya ni milioni 27 tu huoni kama tunapigana kamba tu hapa kwamba watu wanakimbilia sana Ulaya?
Na Usa ina immigrants wengi sababu ni Li inchi kubwa sana lenye state zaidi ya 50, ila ukiangalia kwa propotion ya eneo na population ya Nchi za Gulf still inapokea immigrants wengi.
Kwa hio umebadili data na kwenda OP kabisa? Hizi zinahusiana nini na hoja ya mtoa mada?Mimi sijaleta takwimu za wazamiaji, nimeleta takwimu za wahamiaji au wewe za kwako ni za wazamiaji?
Unataka namba za illigal immigrants? Hizi hapa;
- significantly.
Country Maximum Illegal Immigrant Population Minimum Illegal Immigrant Population Russia 12M 10M United States 11.4M 10.9M India 10M 1.4M Bangladesh 1.2M 500K France 1.2M 890K Germany 1M 100K South Africa 1M 500K United Kingdom 950K 550K Malaysia 800K 800K Brazil 700K 700K South Korea 210K 210K Venezuela 200K 200K Canada 120K 35K China 100K 10K Philippines 100K 100K Australia 100K 50K Switzerland 100K 100K Norway 56K 18K
Sasa wewe unasemaje Bahrain yenye raia milioni 1.5 ina immigrants wengi kuliko US yenye immigrants milioni 3 kwa mwaka??Boss kuna tofauti kati ya traveler na Immigrant, tuanze kuelimishana kama watoto wadogo kweli?
Haya tuanze ku define ImmigranView attachment 3144342
Ili u Qualify kuitwa Immigrant inabidi uwe unaishi permanent,
Dubai inapokea wageni zaidi Ya milioni 100 lakini kuna Immigrant milioni 9 tu, tofautisha hivi vitu.