macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wengi ya walio huko Uarabuni wamekwenda kufanya vibarua.Proportion na influx inafanana? Yaani imechukua miaka mingapi hao wakimbizi kuwa kwenye hizo nchi?
Halafu hiyo "proportion" inatokana na data gani?
Miaka kadhaa ijayo watajaa wao na kuandamana kama Sweden na UKSielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Another interesting fact usiyoijua ni asilimia 10 tu ya waarabu waliopo Usa ni waisilamu. Percentage kubwa ni Orthodox Christians na madhehebu mengine kama protestant. Na hao asilimia 10 wengi wanatoka Nchi za Gulf wapo pale sio kutafuta Ugali bali kama Investors na Matajiri wakubwa Wakubwa.Waarab kwa kweli ni mazezeta tu, wakiwa makwao na kukaa na magaidi wenzao wanawachukia wazungu kumbe moyoni wanawapenda na kutamani kuishi maisha yao, yaani kuwa care free. Nani mwenye akili timamu anataka kuvaa magunia kichwani na usoni, ukisikiliza muziki kujifurahisha unachinjwa eti ni haram, ukicheka na wenzako ni dhambi pia unachinjwa........Sasa hapa mtu ukipewa choice ya kuishi pepone Marekani au Jehanam Uarabuni, unachagua nini?
Dubai ni rahisi kwenda. Nchi nyingi za kiarabu watu wanakwenda kufanya vibarua kama udereva, house maid, ujenzi na takataka zote nyingine. Hakuna wengi wanaovutia kwenda kuishi moja kwa moja. Wasomali nchi kama UAE wako wengi lakini bado unakuta wanahangaika kwenda Western Europe. Tukubali tu kuwa demokrasia ni ingredient moja muhimu sana kwenye maisha ya wanadamu.Hakuna sehemu ambayo Watanzania wengi wanaenda Kushinda Dubai, ila wanajitoa tu ufahamu.
ili wapiganeKwasababu tunataka dunia nzima iendeshwe kwa sheria za kiislam
Na sisi hatuna haja na weweHakuna mtu mwenye akili atapenda kuishi nchi za kiarabu!
Umeongea fantasies tu, true kuwa waarab wamewekeza kwenye hizo media ila inabidi ukumbuke why they do that, unajuwa kwanini? Wamewekeza huko kutaka kuwapiku Wayahudi walioteka media zote Marekani na asilimia kubwa ya waarab wallopo Marekani ni waislam. Do your research my jinn brother.Another interesting fact usiyoijua ni asilimia 10 tu ya waarabu waliopo Usa ni waisilamu. Percentage kubwa ni Orthodox Christians na madhehebu mengine kama protestant. Na hao asilimia 10 wengi wanatoka Nchi za Gulf wapo pale sio kutafuta Ugali bali kama Investors na Matajiri wakubwa Wakubwa.
Kila kampuni kubwa unayo iona marakeni ile Facebook, Twitter, Apple, Microsoft na wengineo kuna hela Za waarabu.
So mostly ulicho ongea ni ujinga na mambo usiyoyajua.
Mfano hio ya Muziki, wasanii wengi wa muziki wa kiarabu ni very successfull kuanzia wa kimataifa kama Kina Shakira ama wa ndani kama Kina Saad, Nancy Ajram, Feirouz, Elsa na wengineo. Wakati huku mtu akiwa na Bilioni KAMA Diamond anaitwa Tajiri Middle East Wasanii wengi mno vipato Vyao ni mabilioni ya hela wengine wanavuka hadi Bilioni 100.
Another myth ambayo haina evidence, Nchi Nyingi za kiarabu ni destination za Millionaires Na watu wasomi.Wengi ya walio huko Uarabuni wamekwenda kufanya vibarua.
| Rank | Country | Projected Net Inflow |
| 1 | United Arab Emirates (UAE) | +6700 |
| 2 | United States of America (USA) | +3800 |
| 3 | Singapore | +3500 |
| 4 | Canada | +3200 |
| 5 | Australia | +2500 |
| 6 | Italy | +2200 |
| 7 | Switzerland | +1500 |
| 8 | Greece | +1200 |
| 9 | Portugal | +800 |
| 10 | Japan | +400 |
Swali rahisi tu mnataka kupotezea as hujaelewa. China kuna China 2? Wayahudi kuna Wayahudi 2? Waarabu wana nchi nyingi; swali ni rahisi tu, kwanini hua hawakimbilii kwa Waarabu wenzao instead hukimbilia kwa makafiri? Mbona swali rahisi sana tu hili?Swali la kijinga!
Jews wamehama wote Mashariki ya kati wakasambaa nchi nyingine mbona huulizi!
Wahindi na wachina wapo duniani kote mbona huulizi?
Asilimia kubwa ya waarabu Usa ni WakristoUmeongea fantasies tu, true kuwa waarab wamewekeza kwenye hizo media ila inabidi ukumbuke why they do that, unajuwa kwanini? Wamewekeza huko kutaka kuwapiku Wayahudi walioteka media zote Marekani na asilimia kubwa ya waarab wallopo Marekani ni waislam. Do your research my jinn brother.
Comment yangu nyengine nimekuwekea Inflow ya millionaires Dubai (UAE) Ndio nchi duniani inayo attract millionaires wengi kushinda yoyote, Usa ni Ya pili, Ka nchi kadogo kenye Raia milioni 1 tu lakini kanapokea zaidi ya milionea 6000 kwa mwaka na kinazidi Nchi zote Duniani, kusema Wanaenda Vibarua tu ni Stori za Vijiweni ni kama Mimi niseme Usa wanaenda Wavuta bangi tu.Dubai ni rahisi kwenda. Nchi nyingi za kiarabu watu wanakwenda kufanya vibarua kama udereva, house maid, ujenzi na takataka zote nyingine. Hakuna wengi wanaovutia kwenda kuishi moja kwa moja. Wasomali nchi kama UAE wako wengi lakini bado unakuta wanahangaika kwenda Western Europe. Tukubali tu kuwa demokrasia ni ingredient moja muhimu sana kwenye maisha ya wanadamu.
Source UN na World bank kasome comment no 19 na 20Weka source ha data zako!
Si Kweli nchi zinazoongoza kupokea wakimbizi ni tatu Iran, Uturuki na Ujerumani
Nchi zinazoongoza kuwa na Migrants Saudi ni ya tatu.
Nchi zinazoongoza kupokea wageni wengi per capita karibia zote ni za kiarabu.
Mfano nchi kama UAE ina watu kama milioni 10 ila milioni kama 9 ni wageni na milioni kama 1 ndio Raia.
So hii ni myth ambayo ipo repeated kila siku kudanganya watu
Umeandika ushuzi mtupu hapa na mihemko tuSi Kweli nchi zinazoongoza kupokea wakimbizi ni tatu Iran, Uturuki na Ujerumani
Nchi zinazoongoza kuwa na Migrants Saudi ni ya tatu.
Nchi zinazoongoza kupokea wageni wengi per capita karibia zote ni za kiarabu.
Mfano nchi kama UAE ina watu kama milioni 10 ila milioni kama 9 ni wageni na milioni kama 1 ndio Raia.
So hii ni myth ambayo ipo repeated kila siku kudanganya watu.
Kina GSM na Mugabe ni lazima watakimbilia huko kwenye makatili wenzao. Unadhani watathubutu kwenda kuwekeza Western countries? Bado hujajibu ni kwa nini wakimbizi wa nchi za kiislam wanakimbilia zaidi Western kwenye kiti moto na hawaendi Uarabuni.Comment yangu nyengine nimekuwekea Inflow ya millionaires Dubai (UAE) Ndio nchi duniani inayo attract millionaires wengi kushinda yoyote, Usa ni Ya pili, Ka nchi kadogo kenye Raia milioni 1 tu lakini kanapokea zaidi ya milionea 6000 kwa mwaka na kinazidi Nchi zote Duniani, kusema Wanaenda Vibarua tu ni Stori za Vijiweni ni kama Mimi niseme Usa wanaenda Wavuta bangi tu.
Hapa Kwetu Africa Chunguza kuanzia matajiri kama MO na Gsm nenda Viongozi wa Siasa kina Late Mugabe, Mpaka majambazi kina Alex Masawe utakuta wanamiliki Apartments Dubai why? Ni Nchi ambayo ina kodi ndogo ina attract matajiri wote Duniani wakawekeze.
Bado nasema tena. Vibarua ndiyo wanajaza idadi ya wahamiaji huko.Another myth ambayo haina evidence, Nchi Nyingi za kiarabu ni destination za Millionaires Na watu wasomi.
1. Average Salary UAE ni 191,000 AED kwa mwaka Roughly milioni 140 kwa mwaka na kama milioni 11-12 kwa mwezi, ingekua Vibarua ni wengi malipo ya kati yasingekua zaidi ya milioni 10.
2. Gdp per capita ni zaidi ya dola 50,000 kama masikini wangekuwa wengi ingeshuka.
Sasa hivi UAE ni top destination ya Millionaire Duniani kote, hii Top 10 ya Inflow ya Millionaires.
Rank Country Projected Net Inflow 1 United Arab Emirates (UAE) +6700 2 United States of America (USA) +3800 3 Singapore +3500 4 Canada +3200 5 Australia +2500 6 Italy +2200 7 Switzerland +1500 8 Greece +1200 9 Portugal +800 10 Japan +400
Wakimbizi hawakimbilii western na migrants pia hawakimbilii western nishaeka Data kibao ila mnapotezea na kurudia Ujinga Ule ule.Kina GSM na Mugabe ni lazima watakimbilia huko kwenye makatili wenzao. Unadhani watathubutu kwenda kuwekeza Western countries? Bado hujajibu ni kwa nini wakimbizi wa nchi za kiislam wanakimbilia zaidi Western kwenye kiti moto na hawaendi Uarabuni.
With what data, wewe mtu mzima ujue pengine una watoto wanakuamkia asubuhi, una ushahidi gani Kutetea maneno yako?Bado nasema tena. Vibarua ndiyo wanajaza idadi ya wahamiaji huko.